I wish I had a husband already

Maringo meng ya nn wakat sote tuna ukimbiza mda
Jifunze na wakumbushe na wenzio
 
Tatizo la mademu wa JF ,mwonekano wao huwa wako tofauti na wanachoongea ..katika mademu 12 nilio wadate yangu 2013(kwa kutumia IDs tofauti)..siku ya kuonana physically watano niliwakimbia sababu walikuwa siyo kabisa...wanne.nilimalizana nao kwa sababu ya njaa na watatu tu ndiyo walikuwa wa ukweli...sasa Hata mtoa mara tuna haki ya kukukagua sisi warefu...na usishangae mtu asirudi tena baada ya kuonana mara ya kwanza..
 
Andunje utam shape vipi?Mueleweni mtoa Mara jamani!
 
na ungetumia kiswahili mwanzo mwisho ingependeza zaidi, maana kiingereza chako kinakatisha tamaa.
 
Sijapata aliekidhi vigezo sitaki kuwa na mume ilimradi ni mwanaume I want a husband atakae nitia hamasa ya kufanya nae mapenzi kila ninapomuona au kumfikiria sasa akiwa mfupi siwezi kulowana kabisaaaa
Aisee, huloi kabsa, na usije shangaa hupati tall kabsaa ,au ukapata tall akawa mzigo tuu,
maisha haya bhana wasio complicate ndo wanafuraha na amani
 
Kaka mtandaoni hakuna tofauti na kituo cha basi ama sokoni. Unaweza kukutana na watu wema tu na mkawa ndugu ama wapenzi kabisa.

Tatizo lenu vijana ni pupa. Hamuwezi kukutana leo mkapendana kesho, yafaa muwe marafiki kwanza kabla ya wapenzi
Tunakimbizana na muda , urafiki unachelewesha mambo na umri unaenda[emoji23]
 
Tunakimbizana na muda , urafiki unachelewesha mambo na umri unaenda[emoji23]
Kuwa mpole aseee ....mambo mazuri hayataki haraka ,ndo umegundua Sasa hivi kuwa umri unaenda ? Hatua ya urafiki huwa hairukwi hata mkioana kesho haimaanishi kuwa hiyo hatua imerukwa ....kumbuka kipindi Cha urafiki kinajumuisha mambo mengi ikiwemo kujuana kwa undani kwenye mambo / vitu vingi vinavyowahusu n.k ili muingie kwenye level nyingine mkiwa huru na kwa ufanisi kabisa
 
Mkuu, alicho ongea@king'asti siyo kuwa nakipinga, nilikuwa naongea kwa Hali Fulani tuu kuonesha namna pengine ni sababu za vijana wengi kuruka ama kutopenda kupita katika kipindi Cha urafiki kabla hawajaingia katika mahusiano ya kudumu,
But thanks for giving these insights could be helpful to most of the people who are seeking for marriage ...
 
Sounds like a lot of EGo within!
 
Aisee...mkuu umewatafuna!
5 uliwakimbia kwasababu SIYO
4 uliwakimbia kwa sababu ya njaa
3 ndio wa ukweli.

Sio mbaya 25% ingawa mtaani wa ukweli ni 70%
 
Vijana hawaelewi.
Wahenga walisema get married to a person who makes you laugh. As you grow old together, their sense of humour will be more crucial then the looks!
 
Hahaha ukweli mchungu
 
Kwanini stress za kuolewa zinawasumbua sana hivyo wadada?
Huyu ma,la,ya anatafuta harusi tu, akishaolewa hatamaliza miaka 5 bila divorce siombei hilo ila ndio nachokiona tokana na pride alionayo na bila shaka ndi kilichomfanya yupo single hana hata mchumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…