I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Asante sana kwa kukubali kwa mke wangu wa tatu. Mmmwaaaaa.
 
Wakipataga hayo yote wanajengekaga kitabia flani hivi ambacho wanaume hatubebagii... si umeona hata anavyojielezea hapo, sijui"my own car"my own house"my business".
Wanapataga pembe flani hivi, baya sana.
Mi najua jinsi ya kuishi na mwanamke kama huyu..najua unachomaanisha lakini nilishapitia njia hiyohiyo
 
Naomba nishauri jambo moja muhimu. Kuna hali ninayoishuhudia katika Siku za hivi karibuni kwenye nitandao kutoka kwa wadada wakitoa hisia zao kuhusiana na masuala ya mahusiano.

Baadhi yao wamekuwa wakieleza jinsi mwanamke bora anayefaa kuolewa (wife material) anavyostahili kuwa. Hili no jambo jema.

Kwangu mimi ambaye ni mshauri wa wenye jakamoyo (Trauma Counseler) ninaelewa hali wanayopitia.

Hata baadhi ya wadada wengi tunaoona wakiwa watupu au kufanya mambo ambayo jamii inaona yasingestahili kufanywa hadharani, ni sehemu ya matatizo ya jakamoyo wanayoyapitia katika nafsi zao kimahusiano (complex trauma).

Hivyo badala ya kukimbilia kuwahukumu, tungejipa kwanza muda wa kuwasikiliza na kujua kwa nini ilikuwa hivyo, ili tujue kama ni kwa makusudi (with malice intent) au ni kutokana na jakamoyo wanalopitia (PTSD)

Kwa ushauri wangu mwanaume/ mume ambaye anaalikwa na mtoa Uzi huu hapa anapaswa atambue kwamba shauku ya mtoa Uzi angependa akutane na MTU ambaye siku zote atazingatia mahitaji ya kinafsi ya mhusika kimahusiano.

Ningeshauri kila yanapojitokeza mambo ya aina hiyo tusikimbilie kwanza kuhukumu (non judgmental) MPE nafasi ya kumsikiliza ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kumsaidia.

Ndivyo nionavyo Mimi!
 
Mkuu naona kwa taaluma wewe ni mwanasheria. Iam right?
 
Trauma is a shock or unpleasant experience which temporarily affects the physical and/or psychological functioning of the person.

Kwa kawaida kwenye trauma hatushiriki jakamoyo LA MTU Kwa kumuonea huruma (sympathy) na kumuacha na jakamoyo lake, Bali tunamsaidia aweze kujirejesha katika hali take ya kawaida baada ya tukio (empathy)
 
Asante nimekuelewa. So una clinic au unatoaje huduma
Trauma is a shock or unpleasant experience which temporarily affects the physical and/or psychological functioning of the person.

Kwa kawaida kwenye trauma hatushiriki jakamoyo LA MTU Kwa kumuonea huruma (sympathy) na kumuacha na jakamoyo lake, Bali tunamsaidia aweze kujirejesha katika hali take ya kawaida baada ya tukio (empathy)
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Nimeipenda hii
Nakutakia kila ka kheri
the sister
Mungu akutimizie hitaji la moyo wako
 
Am here my future wife am jus here sitting under the tree ,thinking abt yah, all the day throwing the stone in river ,watching the birds, flowers ,whre ar u my lovely wife?? I saw u crossing the river. Where R u my future wife.???
 
wewe una futi ngapi?maana hata sie tunataka walioenda hewani, bibie
 
tatizo ushajiwekea vigezo hutaki wafupi..so hata akija mfupi ambaye ni bora kwako hutajua kwa vile tayari shablock ..subiri warefu tu waje......all the best
 
Am here my future wife am jus here sitting under the tree ,thinking abt yah, all the day throwing the stone in river ,watching the birds, flowers ,whre ar u my lovely wife?? I saw u crossing the river. Where R u my future wife.???
Unanikumbusha mambo ya secondary..uko form ngapi dogo?
 
Back
Top Bottom