I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

The sister pole sana.
Hawa ndo wapuuzi warefu utakaokutana nao.

1, bahili bahiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka basi
2, ukiwa na shida kamwe hatokusaidia, ila yeye akiwa na shida wewe uko tiyari hata kumkopea pesa
3, ana watoto nje team ya Mpira
4 hana maamuzi binafsi ndugu zake wanamwendesha ka gari bovu
5, hata Nyumba hana wakati ana miaka 35
6 hakupendi atakuoa kwasababu wewe utamng'ang'ania
7, Atakuoa kwa huruma ila moyoni hakupendi
8, hata wewe hutoolewa nae kosa unampenda , basi tu kisa urefu for northing, na stress
8, hatokaaga kukupenda au kusaidia ndugu zako.
9, wewe ndo utakuwa mtoaji kwake kila Siku
10: sio lazima unachokitaka ukipate
11.............hii nabaki nayo.
Nitapambbana nae hivyihivyo mpaka atakaa kwenye mstari na kuwa mume bora
 
Wapare si ni wafupi by nature.

Wanawake walio wengi wanavutiwa na pesa then looks, ndio maana mwanaume hata awe sura mbaya vipi ila akiwa na pesa anamgombaniwa, wanaume wanavutiwa na looks kwanza.
Kwanini wapare sasa, hebu funguka nini kilikusibu huko!

Ni kweli ila si unajua kuna Consequences katika kila choice unayofanya maishani, kwa sisi wanaume its easy to make a go kwa kile ambacho tunaona kiko freshi ila sio tu freshi bali tunaangalia na future posibilities! Mfano halisi, mie siwezi chagua mwanamke anaewaka sana (mpenda makuu) hata kama ananipenda na ni mzuri kama malaika maana kipato changu ni cha kawaida na nafahamu kuwa wenye nyingi wa naweza kumfanya chochote siku nikiwa alijojojo! Vile vile kwenu nyie mtazamo huwa ni tofauti, ukiangalia wanawake wengi wataangukia hapo kwamba jamaa awe na mvuto tu ila consequences kama headaches huwa hamzioni mwanzoni!
 
Duuuh!! Kumbe mkwe una maneno makali hivi!!!!

Ila mwandiko wa kiume huu.
Huyu ma,la,ya anatafuta harusi tu, akishaolewa hatamaliza miaka 5 bila divorce siombei hilo ila ndio nachokiona tokana na pride alionayo na bila shaka ndi kilichomfanya yupo single hana hata mchumba!
 
I think we should be moving there together honey isn't it fun? Playing with hellfire sounds awesome!
I don't belong there my dia..the type of words u used in your previous comment show that hell is where you belong unless you change your attitude..
 
Kwa kupenda na macare kwakweli wako vizuri(hapa tuondoe wapare kwakweli) Inapotokea options zako ni chache basi inabidi tu uwe mtulivu.

Unajua sio wanawake tu wanaovutiwa na looks hata wanaume(sio mbaya though) ila linapokuja suala la kujenga familia inabidi twende mbali zaidi japo pia looks zina nafasi yake maana unapaswa kuwa na mtu anayekuvutia(itapubguza shida ndogondogo).
Nyerere alipiga sana vita ukabila, naona taratibu mnaanza kutubagua kwenye mahusiano based on our tribes, nyie haya tu!!!
 
Wapare si ni wafupi by nature.

Wanawake walio wengi wanavutiwa na pesa then looks, ndio maana mwanaume hata awe sura mbaya vipi ila akiwa na pesa anamgombaniwa, wanaume wanavutiwa na looks kwanza.
Hahaha mbona mie wazee wangu unaeza sema wametokea umasaini! Ni matolu wote, ufupi its just a genetic issue! Kama ndugu zangu wangu wote ni matolu 185cm+ ila mie ndio mfupi it shows hata mie nina T kubwa ndani yangu so its likely ntakuja kuwa na watoto warefu mbeleni!
Kuhusu kupenda pesa ni ipo sana kwa jamii za watu maskini hata huko ulaya, Watu ambao baba zao wali win mapema wakakulia katika Lavish lifestyles hata hawababaikagi na hela! Anaenda anapata zake ila hutamskia akimsumbua mumewe eti kisa ana pesa, maskini ndio tunaleteanaga shida!
 
Kumbe we mfupi ndo maana povu limekutoka calling me names
 
Kwanini wapare sasa, hebu funguka nini kilikusibu huko!

Ni kweli ila si unajua kuna Consequences katika kila choice unayofanya maishani, kwa sisi wanaume its easy to make a go kwa kile ambacho tunaona kiko freshi ila sio tu freshi bali tunaangalia na future posibilities! Mfano halisi, mie siwezi chagua mwanamke anaewaka sana (mpenda makuu) hata kama ananipenda na ni mzuri kama malaika maana kipato changu ni cha kawaida na nafahamu kuwa wenye nyingi wa naweza kumfanya chochote siku nikiwa alijojojo! Vile vile kwenu nyie mtazamo huwa ni tofauti, ukiangalia wanawake wengi wataangukia hapo kwamba jamaa awe na mvuto tu ila consequences kama headaches huwa hamzioni mwanzoni!

Huyu espy sijui ana nini na wapare, sijui amewahi kudate na wapare wangapi, manake reference zake nyingi ni wapare, haoni waluguru, wapogoro, wakinga nk. Huenda tumemtenda sana manake thithi bwana!!
 
I don't belong there my dia..the type of words u used in your previous comment show that hell is where you belong unless you change your attitude..
Really? What about dissing the short guys words,hope they feel sweet as chocolate mosaic cake huh! Too bad,, i don't think you are the creator of all the world and its creatures so we should be definately dancing with the devil "the sister"!
 
Wapare si ni wafupi by nature.

Wanawake walio wengi wanavutiwa na pesa then looks, ndio maana mwanaume hata awe sura mbaya vipi ila akiwa na pesa anamgombaniwa, wanaume wanavutiwa na looks kwanza.
Acha urongo , wapare ni wafupi by nature kivipi, makabila mengine hayana breeds fupi...

Hapa natetea origin yangu tafwazali!!!
 
Huyu espy sijui ana nini na wapare, sijui amewahi kudate na wapare wangapi, manake reference zake nyingi ni wapare, haoni waluguru, wapogoro, wakinga nk. Huenda tumemtenda sana manake thithi bwana!!
Mi ni mpare Bro ila sina mambo ya kiduanzi kama anavyotu judge bibie espy
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
I think i deserve,nipo hapa! Njoo the sister
 
Back
Top Bottom