Ukiona hivyo ujue kuna serious problemKaribu JFView attachment 912266
Not in mama rwakatare's voice?...pokeaaaaaaa uwezo wa kupokeea😂😂Pokeaaaaaaaaaaaaa in lusekelo voice
Mkuu wewe ni Mfupi?endelea kuchagua jua likizama una bebwa na yeyote. wakati ni sasa utajutaa
Paragram ya kwanza na ya pili kutoka mwisho zimenivutia hua natamani kuja kuoa mwanamke kama weweHow I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.
Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.
Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.
Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.
Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Am coming to pm so you can clarify what you meanshe wants what she doesn`t want, in the end she won`t get it!, for more advice, "PM"
MaiduguriPokeaaaaaaaaaaaaa in lusekelo voice
Tafta pozy kama ili uwa zoom kwa chini adi umuone utakae mpendaHow I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.
Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.
Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.
Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.
Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.

MkuuKusikia fedha itaongeza urefu chupi imetingishika
Si mnaoa wafupi wenzenu jamani? We unaona raha mwanamke wako akuzidi urefu?Keep on dreaming
Awe mrefuu sasa sisi wafupi tuka oe wapi??
Ahh wapi siko interested na pesa ya mtu maana mi mwenyewe najua kuzitafuta zangu pole sana.... I pay my own bills, I drive my own car, am building my own house, I have my own businesses so pesa ya mtu hainishtui by the way am comfortable in spending my own money not any one else's money..hope you got me..am not a gold diggerKusikia fedha itaongeza urefu chupi imetingishika
Maneno mujarab haya kutoka kwa Mrs Duke, hajajua kuwa watu wafupi kwa kimo ni warefu kwa ndani (tuna DNA za watoto warefu) na ndio waoaji.Uko desperate sana dada
Unasahau unapanga na Mungu naye anakupangia, na unasahau kwenye maisha haya hupati uanchotaka bali unachostahili??? Usiwe mchaguzi hivo, ondoa hiko kua wanakuja wafupi tu na wewe unataka wa kwenda hewani
Unapoangalia mwenza wa kudum, mwenza wa kushare naye maisha yako yote lazima kuwe na vigezo vinavyoishi sio hivi vya urefu na upana na hata hivo huwez mpata mwenye vyote lazima baadhi atamiss muhim kuangalia vya muhim tu kama anavyo
Mshirikishe Mungu, sababu hujibu kila goti lipigwalo kwa nia, uwe mstahmilivu muda wako unakuja.
Ahh wapi siko interested na pesa ya mtu maana mi mwenyewe najua kuzitafuta zangu pole sana.... I pay my own bills, I drive my own car, am building my own house, I have my own businesses so pesa ya mtu hainishtui by the way am comfortable in spending my own money not any one else's money..hope you got me..am not a gold digger