mependa hapo kwenye bold hahahaManeno mujarab haya kutoka kwa Mrs Duke, hajajua kuwa watu wafupi kwa kimo ni warefu kwa ndani (tuna DNA za watoto warefu) na ndio waoaji.
Atuombe sisi maandunje radhi kwa maana hakuna binadamu ambae hajaenda hewani.
unahitaji mrefu kwenda juu au chini? ili tujueHow I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.
Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.
Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.
Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.
Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
In life you will never have everthing.Yote hayo umeweza lkn mume huna
Something must be wrong wit u
Hahaha mimi namshauri asitishe maombi ya KUTAFUTA na aanze maombi ya SHUKRANI kwa maana tayari "future husband wake" niko hapa nikikamilisha kigezo cha kwenda hewani.mependa hapo kwenye bold hahaha
Ni kweli, anaposema anapata wafupi tu hawataki anataka warefu anakosoa hata uumbaji wa Mungu ajue vigezo muhim yawezekana hata huyo mume mwenyewe alishakutana naye lakini alivyo too picky akamkosa ila shahada mara tatu asikate tamaa atapata aombe Mungu
hahahahahahaaa nimecheka, usikate tamaa mpaka umpateHahaha mimi namshauri asitishe maombi ya KUTAFUTA na aanze maombi ya SHUKRANI kwa maana tayari "future husband wake" niko hapa nikikamilisha kigezo cha kwenda hewani.
Duuuh makavu hvyoooWewe endelea ku wish na kuchagua miaka inasonga na utazidi kukumbatia mito
Karibu JFView attachment 912266
Sijapata aliekidhi vigezo sitaki kuwa na mume ilimradi ni mwanaume I want a husband atakae nitia hamasa ya kufanya nae mapenzi kila ninapomuona au kumfikiria sasa akiwa mfupi siwezi kulowana kabisaaaaYote hayo umeweza lkn mume huna
Something must be wrong wit u
Hahaaa andunje weee..kumbe we mrefu wa ndani tu eeManeno mujarab haya kutoka kwa Mrs Duke, hajajua kuwa watu wafupi kwa kimo ni warefu kwa ndani (tuna DNA za watoto warefu) na ndio waoaji.
Atuombe sisi maandunje radhi kwa maana hakuna binadamu ambae hajaenda hewani.
Ndio ukweli huo.Duuuh makavu hvyooo
Raha jamani rahaAhsante future wife ahsante kwa kunisubili kwa muda mrefu, niko hapa your future Husband, huna haja ya kuchagua tena hapa umefika kipenzi
Karibu
Tuhurumie kidogo bas toa maneno yenye moyoNdio ukweli huo.
Hahaha huyu "future wife" atakua mwenye bahati sana, ntajitahidi kila mwisho wa mwezi nalipa mahari upya na yatakua yanapanda kama kima cha mshahara.hahahahahahaaa nimecheka, usikate tamaa mpaka umpate
Ukiona Warefu Wote Unalowana?Sijapata aliekidhi vigezo sitaki kuwa na mume ilimradi ni mwanaume I want a husband atakae nitia hamasa ya kufanya nae mapenzi kila ninapomuona au kumfikiria sasa akiwa mfupi siwezi kulowana kabisaaaa
Jf mnapenda kupindisha madaUkioana Warefu Wote Unalowana?
Aisee Kweli Mke Nimepata Kwa Style Hii Kazi Ninayo
mrefu ambae atakua mume wangu sio mrefu yeyote