I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need
Mngekuwa mnatekeleza haya yote kama ilivyoandika...???

Halafu mpunguze u-slay queen
 
Asante, shukrab sana james
Inawezekana dini imeku-shape vizuri we binti/dada, huenda pia wazazi wamkulea vizuri kwa maadili mema. Kama unayoandika unayaishi then you've a great personality, I like reading your comments, they're very constructive most of the time.

Umeolewa?
 
Hizo ahadi "mia" unadhani utazitimiza? Uliza wenzako walioko ngomani, wanaweza kukupa neno moja au mawili kuhusu ahadi zako.

Nadhani bado ujana maji ya moto unakusumbua, uko too desperate, too picky, japo pia ni vizuri kutafuta unachohitaji. Ila hizo ahadi hizo....!!
 
Shukrani mnoo, nimeisoma hii comment ako zaidi ya mara tatu na kujikuta natabasam tu, me naomba niseme vyote, wazazi na dini pia imechangia niwe hivi

Sjaolewa but Allah akipenda sina muda mrefu.
Inawezekana dini imeku-shape vizuri we binti/dada, huenda pia wazazi wamkulea vizuri kwa maadili mema. Kama unayoandika unayaishi then you've a great personality, I like reading your comments, they're very constructive most of the time.

Umeolewa?
 
A woman should not choose the husband to be this days,a woman should know how to shape some one to be a good husband,hivi vigezo mnavyoweka mara I want some one with a nice car,a nice chest to touch,mara seven packs and a nice dick able to satisfy me,jiandaeni kuzeekea majumbani kwenu,povu ruksa maana nna turubai chafu
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.

Japo mimi nimeoa tayari, ila nimeguswa na nia yako njema. Nakuombea Mungu akupe mume mwema kama yeye Muumba alivyokusudia ndoa iwe namna gani pale alipomkabidhi Eva kwa Adam ili awe mke wake.

Kumbuka na uahidi toka ndani ya moyo wako kuwa ukimpata umkubali katika tabu na raha, uzima na ugonjwa na umpende na kumheshimu siku zote za maisha yako
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Pale maji yanapofika kwa shingo
 
Uko desperate sana dada

Unasahau unapanga na Mungu naye anakupangia, na unasahau kwenye maisha haya hupati uanchotaka bali unachostahili??? Usiwe mchaguzi hivo, ondoa hiko kua wanakuja wafupi tu na wewe unataka wa kwenda hewani

Unapoangalia mwenza wa kudum, mwenza wa kushare naye maisha yako yote lazima kuwe na vigezo vinavyoishi sio hivi vya urefu na upana na hata hivo huwez mpata mwenye vyote lazima baadhi atamiss muhim kuangalia vya muhim tu kama anavyo

Mshirikishe Mungu, sababu hujibu kila goti lipigwalo kwa nia, uwe mstahmilivu muda wako unakuja.

Kupendelea kitu fulani sio dhambi, huyo sistrer hakufanya vibaya kupenda mwanaume mrefu ili mradi awe tayari kumpokea mume ambaye Mungu atampatia hata kama hatakuwa mrefu hivyo msimlaumu kwa kuelezea hisia zake, ni kama pale mtu anapoomba apate mtoto mvulana au wa kike lakini Mungu anampatia wa tofauti, mtu huyo atakuwa na haki ya kulaumiwa kama tu atalaumu badala ya kupokea alichopewa na Mungu, Hivyo tusiogope kuelezea hisia zetu tunapenda nini.
 
Back
Top Bottom