kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,114
Maisha ya udangaji mkiyachoka mnakumbuka shuka wakati kumekucha
hahahaNa waoaji ni sie wafupi.Kila lakher kuelekea 30s years
hahahahaaha ana bahat sanaHahaha huyu "future wife" atakua mwenye bahati sana, ntajitahidi kila mwisho wa mwezi nalipa mahari upya na yatakua yanapanda kama kima cha mshahara.
Kabisa Mkuu.Huu uzi umeandika wakat umevaa nguo?!
Kila kitu kina wakat wake Mungu huwa hachelewi au kuwahi huleta jambo jema kwako pale wakati muafaka unapofika.
Uko desperate sana dada
Unasahau unapanga na Mungu naye anakupangia, na unasahau kwenye maisha haya hupati uanchotaka bali unachostahili??? Usiwe mchaguzi hivo, ondoa hiko kua wanakuja wafupi tu na wewe unataka wa kwenda hewani
Unapoangalia mwenza wa kudum, mwenza wa kushare naye maisha yako yote lazima kuwe na vigezo vinavyoishi sio hivi vya urefu na upana na hata hivo huwez mpata mwenye vyote lazima baadhi atamiss muhim kuangalia vya muhim tu kama anavyo
Mshirikishe Mungu, sababu hujibu kila goti lipigwalo kwa nia, uwe mstahmilivu muda wako unakuja.
It seems walimdanganya jf kuna waoaji naona kajoin juz leo anatafuta huzibendi matilioView attachment 912272karibu sana JF Utapata tu
Hakika wewe ni mwanamke na wengi waliojaa humu JF ni wasichana tu, most of them hawajakua kiakili like huyu mtoa maada. Umeongea naked truth.
I appreciate you...
Hii si dalili nzuri,ndo ushaanza kuongea peke yako,umeanza kuongea peke yako usiku wa manane,baadaye utaanza kuongea peke yako barabarani,kuwa mtulivu,upate afya ya kisaikolojia!How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.
Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.
Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.
Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.
Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Wanaleta drama huyu za uandishiKaribu JFView attachment 912266
aisee,kweli umejipanga kuwavuta mkuu















