I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

Tuulize tulipata hao waliokwenda hewani kama tunakumbatiwa
 
Wanasemaga dont make promises when you are happy or hungry.
Hizi ahadi mia na hamsini ndani ya miaka 2 tu ya mwanzo utakua umeshajitoa kwenye zote kama sio kwenye asilimia kubwa.
Huyu anatafta harusi tu maana umri umeenda ila ataendelea na maisha yake ya u-sinlge akiwa na pete kidoleni, those promises are just mere excuses za kupata mume tu! Ana Pride sana, wanaume wengi hatuwezi ishi na wanawake wa hivyo, yani mtu wa hivi anaweza hata kuku cheat and she will still want you to feel sorry for yourself bila kujali kuwa amekukosea maana hana cha kupoteza ana economic freedom!
 
Alafu viandunje huwa vinapenda kweli, sema wana gubu hao!!!
Gubu inatokana na hali ya shauri lako kudharaulika, katika uhalisia mtu anaposema tabia flani haipendi kisha we ukawa unachukulia poa ataanza kulalamika kwanini hubadiliki! Hii ni character very common kwa sie Prado 3 doors tofauti na warefu, sie huwa hatususiagi mtu! Usipobadilika tunakuwa tunakuchana juu ya kero zako kila mara mwishowe hilo ndio inatafsiriwa kama gubu ila kiuhalisia ni kwamba raia wafupi wapo real zaidi na hawana unafiki katika kueleza hisia zao!

Wanaume warefu anaongea mara moja kisha anakupotezea, baada ya hapo ataanza visa tu kama sio kususa basi utashangaa tu kuna mabadiliko flani yametokea ghafla, labda hali home au haji kwa wakati, au haombi gemu! Hizo ni tabia za drama za kijinga ambazo huwezi zikuta kwa mtu mfupi! Kwa ambao hawajaoa kukufyekelea mbali ukizingua ni swala la sekunde chache tu,unaanza maombolezo!

Ila kwakuwa wadada wengi wanapenda drama na muonekano wa mtu ili wauze sura wengine wanaenda mbali na kudai wanajifeel protected sijui wakikumbatiwa they choose hao tall guys, ila very late wanagundua wanaume wafupi ndio best match katika kujenga familia! Wengi washakujaga hata kutoa ushuhuda humu kuwa after a long time of enduring dramas and headaches toka kwa ma tall handsome and black walijaribu upande wa pili (short wheelbase) na kukuta hali ni tofauti, mapenzi kama yote na carings hadi kwenye ndoa mambo ni matamu!
 
The sister pole sana.
Hawa ndo wapuuzi warefu utakaokutana nao.

1, bahili bahiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka basi
2, ukiwa na shida kamwe hatokusaidia, ila yeye akiwa na shida wewe uko tiyari hata kumkopea pesa
3, ana watoto nje team ya Mpira
4 hana maamuzi binafsi ndugu zake wanamwendesha ka gari bovu
5, hata Nyumba hana wakati ana miaka 35
6 hakupendi atakuoa kwasababu wewe utamng'ang'ania
7, Atakuoa kwa huruma ila moyoni hakupendi
8, hata wewe hutoolewa nae kosa unampenda , basi tu kisa urefu for northing, na stress
8, hatokaaga kukupenda au kusaidia ndugu zako.
9, wewe ndo utakuwa mtoaji kwake kila Siku
10: sio lazima unachokitaka ukipate
11.............hii nabaki nayo.
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Mtatuua na maneno yenu ingekuwa maneno ni ukweli wanaume tungejihisi paradiso maana mnanoga kweli.
 
Haya maneno yangekuwaga kweli, duniani asingekuwepo mwanaume anachepuka, ila things changes once you take her in your home. Kwanza uapangiwa sex maramoja kwa wiki, baadae hana mode kabisa, huko chini pakavu hata upashikeje, mwisho unaona ya nn shida bora ukamate vifaranga vya mtaani under 20 bado kila nati imekaza, ukikashika hata upindo wa gauni tu kameshalowana
Mkuu umeiva! Sina shaka upo ndoani wewe, mambo kama haya mvulana hawezi kuyafahamu!
 
Hizo ahadi "mia" unadhani utazitimiza? Uliza wenzako walioko ngomani, wanaweza kukupa neno moja au mawili kuhusu ahadi zako.

Nadhani bado ujana maji ya moto unakusumbua, uko too desperate, too picky, japo pia ni vizuri kutafuta unachohitaji. Ila hizo ahadi hizo....!!
Hiko ni kitoto cha kishua tu chenye miaka 23, kimemaliza Degree kinawaza mume katika fantasy zake hapo! Ha ha ha akifika 29 atakubali hata shamba boy wao apite nae!
 
Hahaaa et give you good sex anytime you need.....
Hamuwezagi hii kitu bibie, acha nadharia kabla hujaingia ndoani
Kuna story za "sa kama mie nimechoka nifanyeje aargh!" ha ha ha a marriage is not a bed of roses!
 
Ngoja wafupi tusubiri hili benchi la mwisho baada ya warefu kukosekana nafikiri mtoa mada atakua ni bikra so hapo natangaza harusi jumamosi ijayo
 
Too desperate , too picky....doesnt go together. Ukiwa desperate hutaweza kuchagua utabeba atakaekuja. Huyu bado sana ndio maana anaweka vigezo. Btw kuna ubaya mtu kuchagua anaempenda? Mliooa mmeoa tu wala hamkuchagua?
"Bado kidogoo,,subiri kidogoo, ngoja kidogoo,,,muda baaadoo!" ina Banana Zorro voice,,, huyu haajafika 25 mkuu!
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Pole!!!!..
I'm coming,my future wife! !!!
 
Gubu inatokana na hali ya shauri lako kudharaulika, katika uhalisia mtu anaposema tabia flani haipendi kisha we ukawa unachukulia poa ataanza kulalamika kwanini hubadiliki! Hii ni character very common kwa sie Prado 3 doors tofauti na warefu, sie huwa hatususiagi mtu! Usipobadilika tunakuwa tunakuchana juu ya kero zako kila mara mwishowe hilo ndio inatafsiriwa kama gubu ila kiuhalisia ni kwamba raia wafupi wapo real zaidi na hawana unafiki katika kueleza hisia zao!

Wanaume warefu anaongea mara moja kisha anakupotezea, baada ya hapo ataanza visa tu kama sio kususa basi utashangaa tu kuna mabadiliko flani yametokea ghafla, labda hali home au haji kwa wakati, au haombi gemu! Hizo ni tabia za drama za kijinga ambazo huwezi zikuta kwa mtu mfupi! Kwa ambao hawajaoa kukufyekelea mbali ukizingua ni swala la sekunde chache tu,unaanza maombolezo!

Ila kwakuwa wadada wengi wanapenda drama na muonekano wa mtu ili wauze sura wengine wanaenda mbali na kudai wanajifeel protected sijui wakikumbatiwa they choose hao tall guys, ila very late wanagundua wanaume wafupi ndio best match katika kujenga familia! Wengi washakujaga hata kutoa ushuhuda humu kuwa after a long time of enduring dramas and headaches toka kwa ma tall handsome and black walijaribu upande wa pili (short wheelbase) na kukuta hali ni tofauti, mapenzi kama yote na carings hadi kwenye ndoa mambo ni matamu!
Kwa kupenda na macare kwakweli wako vizuri(hapa tuondoe wapare kwakweli) Inapotokea options zako ni chache basi inabidi tu uwe mtulivu.

Unajua sio wanawake tu wanaovutiwa na looks hata wanaume(sio mbaya though) ila linapokuja suala la kujenga familia inabidi twende mbali zaidi japo pia looks zina nafasi yake maana unapaswa kuwa na mtu anayekuvutia(itapubguza shida ndogondogo).
 
Tatizo la mademu wa JF ,mwonekano wao huwa wako tofauti na wanachoongea ..katika mademu 12 nilio wadate yangu 2013(kwa kutumia IDs tofauti)..siku ya kuonana physically watano niliwakimbia sababu walikuwa siyo kabisa...wanne.nilimalizana nao kwa sababu ya njaa na watatu tu ndiyo walikuwa wa ukweli...sasa Hata mtoa mara tuna haki ya kukukagua sisi warefu...na usishangae mtu asirudi tena baada ya kuonana mara ya kwanza..
hata mie nimehisi humu mademu wengi huenda wakawa jau sana ila sasa mashauzi ni mob! Idk perhaps wapo wazuri sana but sitaki kuiaminisha akili kwamba kuna watoto vinanda humu!
 
Kwa kupenda na macare kwakweli wako vizuri(hapa tuondoe wapare kwakweli) Inapotokea options zako ni chache basi inabidi tu uwe mtulivu.

Unajua sio wanawake tu wanaovutiwa na looks hata wanaume(sio mbaya though) ila linapokuja suala la kujenga familia inabidi twende mbali zaidi japo pia looks zina nafasi yake maana unapaswa kuwa na mtu anayekuvutia(itapubguza shida ndogondogo).
Kwanini wapare sasa, hebu funguka nini kilikusibu huko!

Ni kweli ila si unajua kuna Consequences katika kila choice unayofanya maishani, kwa sisi wanaume its easy to make a go kwa kile ambacho tunaona kiko freshi ila sio tu freshi bali tunaangalia na future posibilities! Mfano halisi, mie siwezi chagua mwanamke anaewaka sana (mpenda makuu) hata kama ananipenda na ni mzuri kama malaika maana kipato changu ni cha kawaida na nafahamu kuwa wenye nyingi wa naweza kumfanya chochote siku nikiwa alijojojo! Vile vile kwenu nyie mtazamo huwa ni tofauti, ukiangalia wanawake wengi wataangukia hapo kwamba jamaa awe na mvuto tu ila consequences kama headaches huwa hamzioni mwanzoni!
 
We mzuri?usije ukawa unachagua wanaume huku wewe ni msichana wa kawaida.
Utakuta mtoto kama Ebitoke af anataka akae kwa mtu kama Hemed Phd, au yule jamaa wa tangazo la NMB aliezagaa kwenye mabasi ya mwendokasi simjui kwa jina ila sampuli hizo! Af mtu kama joti mwenye true love anamkataa!
 
The sister pole sana.
Hawa ndo wapuuzi warefu utakaokutana nao.

1, bahili bahiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka basi
2, ukiwa na shida kamwe hatokusaidia, ila yeye akiwa na shida wewe uko tiyari hata kumkopea pesa
3, ana watoto nje team ya Mpira
4 hana maamuzi binafsi ndugu zake wanamwendesha ka gari bovu
5, hata Nyumba hana wakati ana miaka 35
6 hakupendi atakuoa kwasababu wewe utamng'ang'ania
7, Atakuoa kwa huruma ila moyoni hakupendi
8, hata wewe hutoolewa nae kosa unampenda , basi tu kisa urefu for northing, na stress
8, hatokaaga kukupenda au kusaidia ndugu zako.
9, wewe ndo utakuwa mtoaji kwake kila Siku
10: sio lazima unachokitaka ukipate
11.............hii nabaki nayo.
Bora umekiri wazi, atachagua yeye kusuka au kunyoa!
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Duuuu, natumai ungetoa ushirikiano kwa hao waliokuapproach sidhani kama ungelalamika hivyo
 
Back
Top Bottom