Habari wana JF.
Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.
Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.