Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,594
kila mtu na bahati yake lakini
Habari wana JF.
Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.
Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.
I am on the process kwenda kujitambulisha na wazazi wake wamesha ambia they know soon watapata wageni
Thanks! Ila sihitaji kugombana nae nataka nikae mpaja jtatu asubuhi na nitakuwa nae the whole weekend nisome mazingira yake. I am sure kama kunakitu nitajua. Especially mawasiliano. I dont mean kukagua simu yake but simu zitakazo ingia tukiwa wote etc. Nikigundua kitu jtatu asubuhi nikiondoka hanioni tena!
Amina. Thanks very much kwa ushauri wako. Naamini hafanyi hivyo ila imeaanza kunipa wacwac. Some time action speak more than words so i am trying kureason y she is doing that but i am very sure kesho nitatimba pale mida ya sanne after work na najua nikikaa nae mpaka jtatu asubuhi ninavyo rudi job daslam nitakuwa na jibu kamili. Nampenda sana na ninamwamini sana but kuna kakitu nilinote ndikokaliko sababisha nianze kuwa na wacwac
Please don't practice distance love at home..Wakati mnaanza Mapenzi yenu ya kufatana Mikoani kila wiki haikuwa shida,ulijihisi raha kwenda kama Mkuu wa mkoa anapoenda kwenye Mahafali ya Kidato cha Nne...Mpenzi wako alijisikia kama Malkia vile na akaamini Distance si kikwazo tena..
Long Distance Relationships sio kama vinyweleo kila mtu anavyo,inataka Moyo,Kujitoa na Sacrifice sana,kama unajua huna hizi sifa 3 usiingie!Poleni sana mlioambiwa Distance sio ishu,maana sasa imekuwa BIG ISSUE!Wote mko Tanzania hii lakini hamuonani utadhani Boyfriend kaenda vitani Iraq kumbe yuko hapahapa,chezea Distance wewe!
speaking from experience
asije akawa ndo huyu nilienae sasa kwan anapgiwaga sana sim.
nkmwambia apokee anase ni mfanyakaz mwenzie tumpotezee tuu
i realy dnt know y midume bado mnaujinga huu walong distance...it never works..if they say it is basi jua kuwa one or both are cheating
asije akawa ndo huyu nilienae sasa kwan anapgiwaga sana sim.
nkmwambia apokee anase ni mfanyakaz mwenzie tumpotezee tuu
Mchumba is more than a GF... get more evidence to assist you to make your final decision.