Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.
Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)