I think she is cheating!

I think she is cheating!

Unajua jambo la mapenzi ni gumu na mapenzini huwa kuna drama tofauti. Sasa wewe upo unaumia roho na utazidi umia.

Sasa kwanini usiende huko bila kumwambia kaa hotelini na mcheki hata ukikaa nje mahali mtaani ukampa mtu pesa ndogo watanyamaza na utaweza jua mienendo yake.

Najua ni usumbufu ila kwa wewe itakusaidia sana esp ni mtu wa mbali umjue huyo mchumba wako, kwa sasa kila mtu atasema unahisi as hauna proof. Nae atakuruka maili mia.

Bora umchungzue ujue unapeleka nini kwenu asije akakutia aibu kuendelea kulala na men ndoani. Au kukuletea magonjwa.

Ila mmhh mwanamke anaempenda mwanaume weee achezei dume lake atamuheshimu na hata kujisahau kimapenzi. Sasa huyu simu hapokei na wala harudishi duh kweli kuna jambo. Akitongozwa huko anakuacha labda wewe ni spea tairi lake.

Pole usimuonyeshe umeoza hivyooooo, ila why na wewe usipunguze kumpigia pigia?
 
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.

Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)

nakubaliana na hii kwa asilimia zote
 
dah! Ulikuwa kwenye akili yangu? Au bangi nlyovuta ndo nawe umevuta?
 
Mapenzi ya mbali yana shida yake. Muda mwingi unakuwa mtu wa kuwaza kuibiwa. Fanya uchunguzi wa kina kisha fanya taratibu za kuoa ili ummiliki chako mapema kabla wajanja hawajakuzidi kete.
 
Habari wana JF.

Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.

Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.

usipige tena simu wkendi kama vip anza kufanya diversification kwenye luv and sex ili kupunguza maumivu na kama alikuwa anakucheat utasikia anajikomba ovyo au anakupotezea kabisa usijali we achana nae yanini kujikondesha na mtu asiyekujali.. let her go..
 
Mapenzi ya mbali yana shida yake. Muda mwingi unakuwa mtu wa kuwaza kuibiwa. Fanya uchunguzi wa kina kisha fanya taratibu za kuoa ili ummiliki chako mapema kabla wajanja hawajakuzidi kete.

nadhani hana mpango wa kumuoa ndio maana..
 
Thanks! Ila sihitaji kugombana nae nataka nikae mpaja jtatu asubuhi na nitakuwa nae the whole weekend nisome mazingira yake. I am sure kama kunakitu nitajua. Especially mawasiliano. I dont mean kukagua simu yake but simu zitakazo ingia tukiwa wote etc. Nikigundua kitu jtatu asubuhi nikiondoka hanioni tena!

Na usimwambie kama unaenda maana kama matairi ya spea yapo yatapewa tarifa. Ibuka fasta kaba hadi penati mana ukikaba hadi kivuli kukiwa hakuna jua umeliwa.
 
nenda jumamos ucku saa tano na cm yako iweimeisha charge iliasione umemsaplize mwambie gari liliharbika ndo maana umeingia nite, hapo utagundua ki2
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka, mapnzi ya telephone ni noma.
 
Huna sababu ya kumuonya kwa kuwa haujafunga naye ndoa.
Fanya ziara ya ghafla nyumbani kwake.
Utakachokikuta, usigombane, furahi kwa kujua ukweli na rejea kwenye foleni zetu za dar.
 
Thanks! Ila sihitaji kugombana nae nataka nikae mpaja jtatu asubuhi na nitakuwa nae the whole weekend nisome mazingira yake. I am sure kama kunakitu nitajua. Especially mawasiliano. I dont mean kukagua simu yake but simu zitakazo ingia tukiwa wote etc. Nikigundua kitu jtatu asubuhi nikiondoka hanioni tena!
Wanawake wako smart sana kuliko sisi.unaweza ukafika pale ghafla, na usipate ushahidi.
 
Huna sababu ya kumuonya kwa kuwa haujafunga naye ndoa.
Fanya ziara ya ghafla nyumbani kwake.
Utakachokikuta, usigombane, furahi kwa kujua ukweli na rejea kwenye foleni zetu za dar.

Thanks siwezi gombana nae. Nitapiga cha mwisho then nachoka soon natafuta mwingi wakukaba pengo wakatinaendelea kutafuta wakuweka ndani.
 
Unajua jambo la mapenzi ni gumu na mapenzini huwa kuna drama tofauti. Sasa wewe upo unaumia roho na utazidi umia.

Sasa kwanini usiende huko bila kumwambia kaa hotelini na mcheki hata ukikaa nje mahali mtaani ukampa mtu pesa ndogo watanyamaza na utaweza jua mienendo yake.

Najua ni usumbufu ila kwa wewe itakusaidia sana esp ni mtu wa mbali umjue huyo mchumba wako, kwa sasa kila mtu atasema unahisi as hauna proof. Nae atakuruka maili mia.

Bora umchungzue ujue unapeleka nini kwenu asije akakutia aibu kuendelea kulala na men ndoani. Au kukuletea magonjwa.

Ila mmhh mwanamke anaempenda mwanaume weee achezei dume lake atamuheshimu na hata kujisahau kimapenzi. Sasa huyu simu hapokei na wala harudishi duh kweli kuna jambo. Akitongozwa huko anakuacha labda wewe ni spea tairi lake.

Pole usimuonyeshe umeoza hivyooooo, ila why na wewe usipunguze kumpigia pigia?

From next week jtatu nitajua nn nifanye. Finger closed!
 
take it positive tu.. otherwise utapata magonjwa ya moyo..mwenzako wekend labda uwe anawahi kulala anasahau kukuaga....au sababu zingine tu...sio lazima anakucheat ndo iwe sababu ya kutopokea simu,,wadada wanaocheat ni wapokeaji wa simu wazur tu za mabeby zao, yaani hata huwez ukafikiria.. labda asiwe binti was mjini..so brother take it positive na amani ya bwana yesu itawale moyon mwako..
 
hahahah aet rejea kwenye folen zetu..kweli lakini..ila kutaka kufumania ni kujitafutia magonjwa mengine ya ziada bila sababu
 
Back
Top Bottom