hii ni kweli kabisa ni uoga tu, nishawahi kuwa hivo lakin deep down uoga ulikua unanisumbua, ati nikiachwa nisije umia mara siombi hela hata nikimuacha niwe nishakua sio tegemezi yaan vya ajab unajiwazia tu, unashindwa kutoa mapenzi yako yote kisa wasiwasi tu.Una Tatizo LA Uoga WA Mahusiano.
Linatokana na historia mbaya(Bad experience) iliowahi kukukuta ama kusikia wengine imewakuta.
Hili linakufanya hau-Enjoy mahusiano na Boyz.
Sio ajabu hata kwenye sita kwa sita Hau enjoy kiviiile.
Badilika namna unavyofikiri.
Fikra zako ndio adui yako.
Sikuzote Mwanaume ni zaidi yako. Hata kama hana Pesa wala kazi.Weka hii akilini. Kujishusha ni 'Pi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipende kumpangia MTU kitu cha kuandika jiangalie ukuzeeka utakuwa mchawiUngenijibu kwa ile lugha nyingine
washa penzi kama moto babydoll$connor
Red hyenapole sana dogo! nna hyo tabia na mm toka nakuwa msichana! sijawah kujuta wala kumkumbuka ex... nadhan tunajiamini kupitiliza.. usimtxt matusi unajishusha hadhi we piga kimya km mnapendana mtarudiana tu iwe isiwe! mie ndo najitibu had nitapona!... nadhan ni kiburi tu kwasabb unatongozwa tongozwa ungekuwa hutongoziw huenda ungenyooka ! lol..
Hapana sio wadada tu.Wanaume nanyi mnaweza kukosea wala hamwombi msamaha wala hamjishushi mara nyingi mno.
Ukijitambua ego ni kitu unazika kabisa.
Kwa kuwa umejitambua ulivyo ni hatua ya kwanza muhimu sana katika kuelekea kubadilika. Hata kama huyo hamtarudiana lakini ni eneo moja la kuanzia kulishughulikia.
Wanaume wanakuudhi kabla au baada ya kukutana kimwili?
Na kipindi kipi unaachana nao, baada au kabla ya kukutana kimwili?
Inaonekana umejawa kiburi, dharau na majivuno ndiyo maana...
Cc: mahondaw