I think am in love with the wrong person

Kama tatizo lako umelijua,jitahidi mahusiano yajayo ubadilike
Ama kama unaweza kumrudia huyu unayempenda sasa hivi mrudie alafu ubadilike

Alafu seriously utaachana na wangapi mamaa..
Thank mumy nitajitahidi niweke mahusiano vizuri na huyu sitaki kuhangaika tena
 
Mpo wengi wa aina yako, dawa ni kubadilisha msimamo. Mapenzi ni kama maua, yahitaji kumwagiliwa, na kuwekewa mbolea ndipo yakue na kuchanua. Kujishusha kunahitajika mno ktk tasnia ya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi
 
Nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Una Tatizo LA Uoga WA Mahusiano.
Linatokana na historia mbaya(Bad experience) iliowahi kukukuta ama kusikia wengine imewakuta.

Hili linakufanya hau-Enjoy mahusiano na Boyz.
Sio ajabu hata kwenye sita kwa sita Hau enjoy kiviiile.
Badilika namna unavyofikiri.
Fikra zako ndio adui yako.
Sikuzote Mwanaume ni zaidi yako. Hata kama hana Pesa wala kazi.Weka hii akilini. Kujishusha ni 'Pi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana
 
Mapenzi ya Angelo na ynah,wafilipino wanatuongopea na kutuingiza chaka sana. wao mwisho wa siku wanarudiana,bongo mwisho wa siku unasikia nderemo na vifijo.
Waache waoane.
 
Kwanza umeshatoa suluhu halafu unataka tukushauri!!?
Me nataka nikushauri,ujiepushe na chuki kwa sababu athari zake ni kubwa kuliko unavyodhani.

Kwa mfano hapa unajenga chuki ya nje kumuonyesha jamaa kuwa huwezi kushuka chini..lkn hiyo chuki ya nje uliyoijenga inakuumiza mwenyewe...jitahidi kutafuta amani ktk kila jambo ili kujipa furaha...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waacheni waachane tu wakuu

We achana nae bhana coz ukiweza kumjibu utakavyo Leo akikuoa he is balaa. Tafta mtaendana. Ushaambiwa too much ego. Kula jeuri yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…