I stand with Israel

I stand with Israel

i am no muslim ni mkristo niliyefunguka, zamani nilikuwa kama wewe ila sasa nimefunguka. nyinyi wakristo ndio wale mnaosherehekea kila baya linalofanywa na israel kiling children na kushangilia....

ni sawa na wale waislam wanaosherekea kila baya linalofanywa na kikundi cha ghasia cha kiislam/kiarabu e.g boko haram, al shabab na kushangilia....

ulivyokuwa chizi unayo internet na kushindwa kugoogle na kueleimika, mtumwa wa fikrwa wewe, ukiambiwa hata the tru jesus alikuwa blacks huwezi kubali.....

many bad things are done in this world with these so called asheknazi jews lakini yote hata ukigoogle na kuyajua huwezi kubali....

Hapo kwenye blue....

Mbona unajichanganya mwenyewe..??

Mara unasema wewe mkristo, mara unasema 'ninyi wakristo', kama vile wewe sio mkristo..!!
 
nenda israel ukafukuzwe kama mbwa. tatizo wakristo weng mna mawazo mgando kuhusu israel mnaiabuduu, ungejua jews they dnt gv a damn about any human bein but themselves.

....iwaendee na wajahidina walio na mawazo mgando kuhusu arabs and see them as their little gods.

---- these stupid religion amabazo
zimedumaza mawazo yetu watu weusi.
Kiranga FaizaFoxy

Ungeandika kuwa mawazo yako yamedumaa, sio ku-generalise kuhusu watu weusi.

Angalia picha hizo hapo za watu walio pamoja na Israeli, je ni watu weusi pekee..???

Pole sana kwa maumivu unayoyapata unapoona sisi tupo pamoja na Israeli.

Kuondoa maumivu hayo, na wewe tafuta 'taifa' lako na ulete thread hapa JF kusema kuwa upo pamoja na 'taifa' hilo.
 
Nani kakuita weye Muislamu! Weye ni mfuasi wa lucifer ambaye anachuki na Israel. Period. HAKUNA KITU KAMA MKRISTO NILIYE FUNGUKA, you either BELIEVE IN JESUS AS GOD or you don't. You either Bless Israel or you don't.

Halafu peleka ngonjera zako Msikitini na kwa GOD HATERS.

Eti bless Israel my foot, yani mtu kumuamini ni Mungu ni lazima ai-bless Israel??? Kama namuamini Mungu nasi-bless Israel nakuwa mfuasi wa Lucifer?? Una akili ndogo kuliko mbegu ya haradani!

Kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia yote yanayofanywa na jeshi la Israeli kuua watoto wadogo wasio na hatia?? kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia waafrika walivyobaguliwa na kuteswa na wengine kuuliwa na wayahudi pamoja na polisi wa israeli??? sitaki kukubali yesu analikubali hili!!

Mungu yupi unayemuabudu wewe??? Inawezekana ji-mungu unaloliabudu ni li-mungu linalopenda na kufurahia watoto wadogo wauliwe na jeshi la Israeli, au li-mungu unaloliabudu halina tofauti na li-mungu linalo-ruhusu wauaji wateke Westigate gate ya Kenya na kuua watu ovyo!
 
and this is how African are treated in Israeli...
w-sudan-82913-1.jpg

African asylum seekers jailed in Holot detention center protest behind the prison's fence, as other asylum seekers take part in a protest outside the facility, in Israel's southern Negev desert, February 17, 2014.

24hrs-outside-holot_007.jpg
 
and this is how Africans are treated in Israeli...

Nitzana03.jpg

Eee Mungu wangu eti ni kweli ili nikuabudu vizuri naambiwa ni-stand with Israel kwa mabaya yoote no matter killing my brothers and sisters???

Nitzana04.jpg

source;Jewish Supremacist Hypocrisy: As Africans Beg to Flee Racist Israel, ADL Demands Open Borders for America - David Duke.com | David Duke.com
 
Eti bless Israel my foot, yani mtu kumuamini ni Mungu ni lazima ai-bless Israel??? Kama namuamini Mungu nasi-bless Israel nakuwa mfuasi wa Lucifer?? Una akili ndogo kuliko mbegu ya haradani!

Kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia yote yanayofanywa na jeshi la Israeli kuua watoto wadogo wasio na hatia?? kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia waafrika walivyobaguliwa na kuteswa na wengine kuuliwa na wayahudi pamoja na polisi wa israeli??? sitaki kukubali yesu analikubali hili!!

Mungu yupi unayemuabudu wewe??? Inawezekana ji-mungu unaloliabudu ni li-mungu linalopenda na kufurahia watoto wadogo wauliwe na jeshi la Israeli, au li-mungu unaloliabudu halina tofauti na li-mungu linalo-ruhusu wauaji wateke Westigate gate ya Kenya na kuua watu ovyo!

Mimi ni MKRISTO na ninaamini katika KRISTO but kuhusu Israel pls count me off!! This Israel thing is full of shit wakubali wakatae huo ndo ukwel!!
 
quote_icon.png
By YouTube i am no muslim ni mkristo niliyefunguka, zamani nilikuwa kama wewe ila sasa nimefunguka. nyinyi wakristo ndio wale mnaosherehekea kila baya linalofanywa na israel kiling children na kushangilia....

ni sawa na wale waislam wanaosherekea kila baya linalofanywa na kikundi cha ghasia cha kiislam/kiarabu e.g boko haram, al shabab na kushangilia....

ulivyokuwa chizi unayo internet na kushindwa kugoogle na kueleimika, mtumwa wa fikrwa wewe, ukiambiwa hata the tru jesus alikuwa blacks huwezi kubali.....

many bad things are done in this world with these so called asheknazi jews lakini yote hata ukigoogle na kuyajua huwezi kubali....

IN RED: Hivi huwa unalipwa kiasi gani kwa kusema uongo. Yaani wewe unaanza sentesi kea kudanganya,
 
Waisrael hawana uhusiano na mungu Kama watu wanavofikiri
Kila mtu Ana uhusiano na mungu
Mungu hachagui wala Hana upande Kama wengi wanavodhani
So mungu Hana dini aliye na asiye na dini wote ni kitu kimoja kwa Mungu
Asante
 
Sio waafrika wote wana nyanyaswa it depends unaishu gani huko wako wanaoenda wengi hija na wanarudi kila mwaka kuna safari za hija watu huenda na kurudi wapo pia wanaoenda kusoma na kurudi salama. Ni sawa tu na South Afrika wasivyopenda wageni na kuwaua na wana waua sana tu waafrika wenzao mbona hamuwasemi.
 
Nani kasema ni sawa yaliyofanyika South Africa?

uovu ni uovu unafanywa na yoyote, uovu haumpendezi Mungu wala haijalishi ni dini gani au taifa gani! Kinachoshangaza ni mtu kuona sawa uovu na ukatili unaofanywa na jamii nyingine ni sahihi waislam kuhusu kutetea vikundi vya mauaji al shabab au boko haram, au wakristo kutetea uovu unaofanywa wa-israeli kuua watoto wadogo. sidhani kama mungu wanayemuabudu au mitume yao iliyotumwa na huyo Mungu wao anachekelea na kufurahia!
 
Nani kasema ni sawa yalifanyika South Africa?

uovu ni uovu unafanywa na yoyote, uovu haumpendezi Mungu wala haijalishi ni dini gani au taifa gani! Kinachoshangaza ni mtu kuona sawa uovu na ukatili unaofanywa na jamii nyingine ni sahihi waislam kuhusu kutetea vikundi vya mauaji al shabab au boko haram, au wakristo kutetea uovu unaofanywa wa-israeli kuua watoto wadogo. sidhani kama mungu wanayemuabudu au mitume yao iliyotumwa na huyo Mungu wao anachekelea na kufurahia!

Hayo ya South pia mmeyakemea humu?
 
Hayo ya South pia mmeyakemea humu?

mimi napinga na kukemea uovu wote ulio kinyume na Mungu ninayemuabudu, mada mezani ni Israel anzisha uzi wa -ku-stand na South Africa nitakufuata huko na wewe kukushuhua kama nilivyomshushua huyu mu-israeli mweusi tii ambaye wayahudi wanamuona mbwa but yeye anajipendekezaaa.

na yaliyofanyika Israeli kwa blacks not near yaliyofanyika South Africa, ukiyalinganisha na wewe utakuwa ni mjinga kama ,mwenzako ISHAMael,. Yaliyofanyika na yanayofanyika Israeli ni Police na serikali ina/ilishiriki kufukuza na kuwanyanyasa waafrika wenzetu.
 
Naomba Wakristo wanielimishe: kwa nini unaona ukiwa Mkristo una wajibu wa kuisapoti Israeli? Waisraeli ni Jews ambao mnasema ndio waliomwua Yesu, mungu wenu, au mtoto wa mungu wenu. Sasa inakuwaje mnawapenda watu hawa? It does not make sense to me. Could someone educate me?

Ngoja nianze hivi, Yesu si Mungu wa kikundi fulani au watu fulani ndugu yangu, Yesu ni Mungu wa wote wenye mwili. Yesu angeweza hata kuuwawa na race au watu wa namna yeyote duniani ilimradi mwanadamu akombolewe kutoka kwenye dhambi, waisraeli walipata neema au Mungu aliamua apitishe ujumbe wake kwa wanadamu wote duniani kupitia wao, sasa Mungu aliwabariki kwa kutoa manabii wengi miongoni mwao mfano Musa, Eliya, mfalme Sulemani kwa imani yenu ni miongoni mwa manabii wenu, Yohana ndo mnamwita yahaya. Anyway, tuendelee, Yesu alitabiriwa na manabii wote kuwa atakufa alafu siku ya tatu atafufuka, na ndivyo ilivyokea, kufa kwa Yesu kulitekelezwa na askari wa kirumi waliokua wanatawala kipindi hicho walishawishiwa na viongozi wa dini ya kiyahudi (mafarisayo na masudukayo) kwa kuwa walimuona Yesu anapata umaarufu na wafuasi wengi. Walifanya hayo pasipojua wanatimiza unabii uliozungumzwa na manabii wengi kama Yesu kuja duniani. sasa usiseme Mungu wenu Yesu kaja kusudi la kuvunja ufalme wa shetani na kuleta ukombozi wa mwanadamu. Naamini umeelewa.
 
Mimi ni MKRISTO na ninaamini katika KRISTO but kuhusu Israel pls count me off!! This Israel thing is full of shit wakubali wakatae huo ndo ukwel!!
Kwahiyo unadhani kuwa waisrael ni wakristo??!!
 
You stand with Israel kuua watoto na raia masikini wa Palestina?!
I stand with Mwl Julius K. Nyerere kufunga ubalozi wa Israel hapa Tanzania.
 
Walas Ba njoo uone huku ninachokizungumza.
Kwa nini dini hizi zinzalisha wafuadi wanaoshabikia mauaji?

Kwa nini dini hizi zimeshindwa kuzalisha upendo kwa watu wote bila kujali muyahudi au mpalestina?

Mauaji yakifanywa na waisrael, wakristo wanashabikia kwa kudai eti ni wakristo wenzao, mauaji yakifanywa na Al shabaab, waislamu wanashabikia kwa kudai eti ni waislamu wenzao, kwa nini zimeshindwa kufundisha watu kuwa dhambi ni dhambi bila kujali imefanywa na nani?

Ninaposema kuwa dini hizi zimeshindwa, namaanisha mambo kama haya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom