I really miss being pregnant mie Karucee

I really miss being pregnant mie Karucee

Mmmh!!! nilvyosoma mpka machozi yamenitoka, nilikuwa na ujauzito wng mwnyw mwanzo hata ckujua nilishtukia tu morning sickness, baridi kali nikawa hata staki hubby aniguse!!!! yani nikawa sensitive na harufu zote yani my hubby alikoma. cku iyo nikaenda kupima malaria docta alivoniona tu akasema mimba hiyo nikapima yani nilifurahi balaa!!!! niliteseka mie sikuweza kula chakula kila kitu nilitapika yani chakula changu kilikuwa supu tu na juice ya ukwaju!!! mimba ilinitesa mie niliumwa sana mpk inatoka sitasahau. wkt mwng nilikuwa nashika tumbo langu mwnyw naongea na mtt wangu hubby alinidekeza but hakuwa riziki!!! Mungu naomba unipe nyingine na mm niitwe mama nipate rafiki wa kweli!!!!.
 
pole; utapata mwingine aliye wako.

Pole mama
 
Karuu, Kiukweli mimi bado niko kwenye majonzi mazito kwa kilichotokea "West-Gate mall" kuna mama mmoja alikua amebakiza wiki mbili ajifungue but she was shot to death.. Its so pathetic
 
Yaani wewe karucee ungekuwa mdogo wangu ningefungwa jela. Ningekuwa nakukoa makonzi!
Why did u walk out on ur hubby?!
 
Pombe, viroba, bange and now you became mama.

Mungu mkubwa!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

Nipe hiyo ni exercise ya week 2 tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

ah... nipo mama! unajua nipo!
 
Hii thread nimeipenda, hongera dada Karucee kwa kuanzisha hii kitu, ina encourage wanawake kuwa tayari kubeba mimba hasa walio ndani ya ndoa zao, maana kuna wengine kwa sababu ya hizo changamoto wanazozipitia tu wakati wakiwa wajawazito wanaona kero kurudia tena, kumbe Mungu ni wa ajabu siku zote na itaendelea kubakia hivyo daima. Ebu angalia wewe unapokuwa mjamzito hata respect unayoipata hasa kutoka kwa wanaume, utazani wao ndio walioiweka hiyo mimba, na hii inakuja automatically huhitaji kuiomba wala nini.

Nilikuwa napitia thread nyingine leo, ndg mmoja naye anafurahi kuwa baba, alihisi labda ni ulimbukeni wake kwa vile ni mtoto wa kwanza kwake, lakini nadhani feedback aliyoipata toka hapa jamvini imebadili mawazo yake, maana excitement aliyoipata baada ya kupata mtoto hua inampata kila mmoja aliye na wito wa kuwa mzazi.

Hongereni wanawake wote mnaokubali kutumiza mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwa kuwa tayari kubeba mimba, kulea mimba na mwisho wa siku kujifungua kwa mapenzi yake. Na kwa wale ambao hamko tayari ama radhi kufanya kwa mapenzi ya Mungu itakuwa vema na msifanye mapenzi kabisa ili kwa namna nyingine pia mnaweza kumtumikia Mungu pia.

CC [MENTION]Ablessed, Kongosho, gfsonwin[/MENTION] na kwa wale ambao hamko kwenye ndoa bado msikate tamaa Mungu yuko pamoja Smile
 
Last edited by a moderator:
On my labor bed I swore never ever to look at male genitals let alone touch or allow one near me. But as my son turns one year old,natamani kweli uja uzito na vituko vyake.
Long before I realized I was pregnant nilikuwa party animal ile mbayaaaa. I was losing my senses. But I could not see it, or admit it. Infact nakumbuka kuna siku niliamka asubuhi na motinyo kilo kama kumi kichwani. Nika pack begi nikamwambia mume wangu bye, am tired of being married. Nimefika Ubungo nikaona niende zangu Arusha. Mimi huyoooooo huku nina Smirnoff Vodka na Tonic chupa kadhaa na ipod yangu inaachia Rock n Roll.
Basi, nimefika Arusha akaja kunipokea best wangu mmoja, one of the very few girlfriends I have tukaenda straight pub na mizigo yangu. Piga motinyo weeee mpaka tukakaa sawa. Smoked some then we went home because she had to work. Nisianguke kwenye ngazi za Babylon?? No wonder I do not wear heels when going out to drink. I was not drunk but hamna ambae angenielewa.
Sasa bwana, kesho yake tulikuwa tunaenda kuzika kwa best wa best wangu. But I was not feeling well nikabaki nje ya kanisa. I was feeling so dizzy. I decided kwenda dispensary flani karibu ya kanisa nijue kama nina malaria. For no reason at all I opted for pregnancy test. I do not know why I bothered, after all I had given up and thereby devoted my life to partying to fill the empty space in my heart.
The results came back. I was pregnant. I cannot describe the feeling. Looking back I cried. I was happy. My life changed that very moment. I had walked out of my marriage the previous day. I had drunk and smoked and did all crazy things in my life. I had fallen down the stairs not knowing I had a precious little being growing inside me the previous night. I looked up to the skies and thanked the Almighty for picking me among the queens who have walked this earth to carry a baby. I swear I was overwhelmed.
I called my husband. He cried. “Come back you silly girl”,he said,” bring the little baby to Daddy”. Teh teh teh . Nilianza kwanza kwenda kwetu to my Dad to tell him in person that I was gonna be a Ma. And he a Grandpa. Alifurahi mno. Ikawa ndio mwanzo wa kuwa pampered. Tapikaaaaa from Day one, the whole day kazi ilikuwa moja tuuuu. Full kutapika…. Nikarudi Dar to my husband that I had walked out on. And life started afresh.
The new pregnant me jamani alikuwa majanga. Jeuriiiiiii!!Stubborn!! Am stubborn by nature but ilizidi. Nilipenda kukaa vijiweni kutia hadisi. Wakati kawaida I am a loner, napenda kukaa alone nikisikilizia bange kichwani zinavyolipuka. Somethings I cannot explain. Nilipenda vimini mnoooooo.Extremely short. Ze hazibendi akikataa nivae nakataa kutoka nae. Domo refuuuuuu Jamani. Plus nilimpenda sana mume wangu. Ikifika saa kumi jioni naanza simu, by six kama hajafika home natoka naenda kumfata wherever he will be. Asubuhi namfata kazini halafu narudi home. I hated food, I wanted nothing, just water and fruits. Na Malta. Yuck. Mpaka leo sielewi how I swallowed that shit. I did not drink again or smoke. My life had purpose, to be a Mama.
Being pregnant, you get away with so many things. People treat you with respect. Magari yanasimama ili mtumbo wako upite. Benki hupangi foleni. Home massage kwa wingi, bila hata kusema Baba Yoyo hapa naumaaaaa. You get away with almost everything. I miss being pregnant jamaniiii. snowhite, sakapal, gfsonwin, EMT, Kaunga, King'asti Kongosho, watu8, Smile, Wi-Fi

ila it needs a heart to handle whatever happens in this time of prgnancy..unaweza ukavaa,ukala na ukafanya kitu ambacho huwez kuja kukifanya after kujifungua
 
Back
Top Bottom