I really miss being pregnant mie Karucee

I really miss being pregnant mie Karucee

It seems you enjoyed that 40 miraculous-week journey and you would like to do it again. I bet you enjoyed:
  • Having the secret of what was happening inside you
  • Smiles from total strangers (finally, the world suddenly became the most friendly ever!).
  • Sleeping as much as you wanted and anywhere without even feeling guilty.
  • That rosy glow
  • Calories, calories and more calories.
  • Excitement due to the anticipation.
  • Indulging your cravings sans guilt.
  • Feeling special
  • Being centre of the attention
  • The shopping?
  • Tiny hiccups & big kicks
  • Being taken care of
  • All that motivation to watch what you eat, drink
  • Fabulous follicles
  • Who cares if your clothes fit?
  • You're never alone
  • A better body image?
  • Having pregnancy as an excuse
  • The newness of it all
  • Taking part in the miracle of life

20 Reasons You'll Miss Being Pregnant | Fit Pregnancy

However, there is no guarantee that all these will happen again during your next pregnancy.
 
Children are the JOY OF LIFE!!Ukiwa mjamzito unapata shidaa lakini maajabu ya rahmani ukishazaa tu ni furaha iliyoje unasahau shida na maumivu yote!!!Na unatamani ubebe ujauzito mwengine,wanawake tumeumbwa kustahamili maumivu!!
Unamiss zile advantages anazopata mjamzito au process nzima ya ujauzito lol?
na misi advantagessss. looool
 
Tena we acha tu, one time I remember niliamshwa saa 8 usiku kwenda kununua chips kuku mliman city, niliposema n saa 8 usiku, nikaambiwa nina roho mbaya ka mkaanga sumu. Ikabidi tuende mliman kujiridhisha pale Merry brown kuwa pamefungwa. Roho ikawa safi, tukaanza kurudi, mda uleule nikasikia baby I'm sorry, nakusumbua sana, ayah, sasa Kama unajua wasumbua kwa nn unafanya hiv. M kimya maana ningeongea pasingelalika.
General8 umenichekeshaje? teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

sasa hapa inabidi mzee mwenyewe nianze campaign..!!!

bila shaka amu hana makuu juu ya hili..!
au sio amu? mi kawaida kiwango cha chini cha kuzalisha ni watoto watatu per pregnancy!

then, unafunga kizazi!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
kiukweli cjui umefikiria nini Karucee, nimependa hizo favour jamani, haukai foleni hata ukute watu wana sura ngumu watakupisha watake wasitake , kama ndo unatumia usafiri wa umma na siti zimejaa utapishwa tu
 
you will have another, more than that, just work hard at the relevant place.......!
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

Umefanya vizuri kutumia hizo folic acid zitasaidia sana
 
teh teh teeeeeeh

Karucee umenikumbusha sana hapo kwenye foleni za benki hadi raha unakuwa treated kama special one kwa kweli ni raha hasa kwa wenzangu na mie ambao hatuna hata hekaheka full ku relax mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Karucee usiseme shoga yangu leo nilikuwa nataka kuweka uzi niulize hivi kweli hamu ya kuzaa kwa mwanamke huwa inaishaga kweli??
huwez kuamini hata leo nataman tu kuwa mjamzito nimemiss maudh ya mimba halafu nataman zaid kunyonyesha kichanga yaani uwiiiiii sijui nimekuwaje .................
 
Last edited by a moderator:
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

Eti natafuta Father wa kujivolunteer, Wewe JF ishakuharibu. Ingia kwenye ndoa bibie usiogope maisha yatajulikana hukohuko mbeleni.
 
Children are the JOY OF LIFE!!Ukiwa mjamzito unapata shidaa lakini maajabu ya rahmani ukishazaa tu ni furaha iliyoje unasahau shida na maumivu yote!!!Na unatamani ubebe ujauzito mwengine,wanawake tumeumbwa kustahamili maumivu!!
Unamiss zile advantages anazopata mjamzito au process nzima ya ujauzito lol?

Kwa maana nikimuona mjamzito tu, namhurumia naona kama mgonjwa vile, wao wanakwambia sio ugonjwa. Kwa kweli Mungu amewajalia kusahau na kuvumilia......nani kama mama!!!!!
 
Dah!! Karucee usiseme shoga yangu leo nilikuwa nataka kuweka uzi niulize hivi kweli hamu ya kuzaa kwa mwanamke huwa inaishaga kweli??
huwez kuamini hata leo nataman tu kuwa mjamzito nimemiss maudh ya mimba halafu nataman zaid kunyonyesha kichanga yaani uwiiiiii sijui nimekuwaje .................

Ha ha haaa nimependa hapo
 
Back
Top Bottom