I really miss being pregnant mie Karucee

I really miss being pregnant mie Karucee

I've never bin preggo but i will plan....hehehe a father is needed....awe tayari kunisaidia hadi kutema mate

Hahahaha hyo noma lakin mpaka mate ntahakikisha hajai mdomo.....umenipata
 
haya jitambulishe nani mwenzangu?id yako ya zamani ipi?kama vipi nipm bana niijue
sasa hapa inabidi mzee mwenyewe nianze campaign..!!!

bila shaka amu hana makuu juu ya hili..!
au sio amu? mi kawaida kiwango cha chini cha kuzalisha ni watoto watatu per pregnancy!

then, unafunga kizazi!
 
haya jitambulishe nani mwenzangu?id yako ya zamani ipi?kama vipi nipm bana niijue

kwani vp mamii amu! kupenda si kubaya mamii!

je t'aime amu!
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahahhahahhaha i miss thi kiddo! why next tym unisms lol!
nimecheka sana Karucee akili zako zinakutosha mwenyewe wewe!
so funnny mwee!
njoo nikunong'oneze
i too miss the thing ujue!chaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Nilimpata mmoja, then twins! Sasa natamani triplets! Uwiiiiiiiiiiiiiii so exited kama nitapata hao! I know yule mkenya atahama nyumba na kurudi kwao wastegate!
 
Dah!! Karucee usiseme shoga yangu leo nilikuwa nataka kuweka uzi niulize hivi kweli hamu ya kuzaa kwa mwanamke huwa inaishaga kweli??
huwez kuamini hata leo nataman tu kuwa mjamzito nimemiss maudh ya mimba halafu nataman zaid kunyonyesha kichanga yaani uwiiiiii sijui nimekuwaje .................
avatar yako mama!!!
 
I've never bin preggo but i will plan....hehehe a father is needed....awe tayari kunisaidia hadi kutema mate

usiombe hvyo..mie nilikuaga na mawazo kama yako,kilichotokea kipindi cha ujauzito hubby hana hamu,maembe yakawa mlo wake,kutema mate..hadi siku za mwishoni akavimba miguu yeye..
Nilikua namwonea huruma ila nilifarijika sanaa..
 
Back
Top Bottom