I really miss being pregnant mie Karucee

I really miss being pregnant mie Karucee

Mmenikumbusha mume wangu alikuwa anatumia tumbo langu kama excuse...alikuwa akipigwa mkono na traffic basi anasema namuwaisha wife hospital...wengine wakiniona tu manager wanamwambia 'basi nenda'. Kama naendesha mwenyewe ndio full confo utadhani nafanya usalama wa taifa vile...

kiukweli cjui umefikiria nini Karucee, nimependa hizo favour jamani, haukai foleni hata ukute watu wana sura ngumu watakupisha watake wasitake , kama ndo unatumia usafiri wa umma na siti zimejaa utapishwa tu
 
Ha ha haaa nimependa hapo

hamu ya kupakata kichanga, kunyonyesha, kufua nguo za kitoto, yaani imeniandama kweli kweli hapa najiuliza hivi sito pishana na gf wa Klein wangu leba??
isingekuwa hofu hii wallah!!!!!!!!! mie mama Klein ningebeba ingine kwanza nidekee weee hapa jamvini ...................
ni raha atii kuwa mjamzito na kupakata kichanga
 
Mmenikumbusha mume wangu alikuwa anatumia tumbo langu kama excuse...alikuwa akipigwa mkono na traffic basi anasema namuwaisha wife hospital...wengine wakiniona tu manager wanamwambia 'basi nenda'. Kama naendesha mwenyewe ndio full confo utadhani nafanya usalama wa taifa vile...

hahahahah!! dada mkubwa unanikumbusha folen letu la kimara yaani wewe unatanua tuu polis wakiona ni meneja yaani wanakupisha wenyewe................
 
Ila nimemkumbuka dada mmoja alikuwa anasoma nje akawa anatumia mimba kama excuse. kilichompata anajua mwenyewe; walimu wake walikuwa wanamwambia asiwe na pressure achukue muda anaotaka...alivyojifungua walimpeleka speed utadhani si wao walimwambia a take the time she needed...sijuhi kama ali graduate yule.

Nilimwonya kuwa achana na unayoambiwa mimba si ugonjwa; unadhani wata extend muda...yeye kajilegeza. yani ilifikia mpaka supervisor wake mmoja ali drop akabaki na mmoja anayemuonea huruma...sijuhi aliishia wapi.
 
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!

naomba mimi niwe baba wa kuvolunteer, ni Dr by professional kwa hiyo hope full support for your health during pregnancy. Kama upo tayari npm
 
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.

Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.

Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.
 
daah!!!!!!yaani my dearest kwa mtu asojua kukusoma katikati ya mistari utamwacha solemba.

dongo hilo kwa wenyewe
 
Last edited by Karucee; Today at 15:08. Reason: si basi tu nimaeamua?

Tumia fursa ya kibaridi hki cha Dar Salama usiku kabla hakijaisha!
 
Last edited by Karucee; Today at 15:08. Reason: si basi tu nimaeamua?

Tumia fursa ya kibaridi hki cha Dar Salama usiku kabla hakijaisha!
nina mpango wa kutafuta ka-uzeeni sasa niambaie wewe utajitolea kuniletea nini??
chagua juice ya ukwaju, ubuyu, ama nyama iliyochemshwa kwenye chungu,
 
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.

Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.

Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.

Cha uzeeni lazima. Unafikiri Zombie atakuacha hivihivi!
 
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.

Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.

Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.

????????????????????!!!!!!!!
 
mie na kiti moto wakati wa mimba??
hiyo hapana labda nyama iliyochemshwa kwenye chungu halafu isiungwe zaid ya kutiwa ndimu kidogo na chumv baasi halafu niunywe mchuzi wake utanikoma looh!!

Basi nitakuletea bata wa kutokoswa!
 
Hataaaaaaaaaariiiiiiiiiiiiii!nilipata taaaaabu sijawai ona kutumikishwa kama shamba boy...mwanaume mzima nabeba udongo nasafiri nao kilomoter kibao nisipoleta silali ndani siku iyo....chipsi anataka za mabibo hostel nabeba mpaka masaki kila siku...hali mpaka niwepo so ni kama dozi kutwa Mara tatu Niko nae tuu...si ndo Ilikua Mara ya kwanza nkimwambia mshua anaishia kunitania tuu...majanga ila siku ya siku pale Hubert Kairuki anazaliwa mwanangu achaaa sijawai pata furaha ya vile aiseeeeee!Leo mwanangu amekua ndo kila kitu kwangu...duuu Mungu fundi saaaana alivyoyaweka haya mambo hatariiiii!poleni msio na watoto na ole wenu mnaotoa mimba!
 
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.

Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.

Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.

????????????????????!!!!!!!!

!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Smile mi skupenda kusoma sema macho yangu yamenlazmisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom