Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
Kama ndo uko hivi! Mh!
Nimchukue kumpeleka wapi?
Kama ndo uko hivi! Mh!
Kumbe una sura ya hivo,asee siwezi mmh .
Umeiona pm yangu?????
Hapo ulikuwa unajiandaa kwenda katika sherehe gani?
nyumbani
ah blaza unakataa jiko....?
Hahahaha sebene..
au kwenye kicheni pati...halafu yeye ndio somo
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
![]()
Nimeshakutupia like if and only if you meant Mungu pale penye bold .Imani yangu inasema "Binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu" Kumbe basi miili yetu siyo imwonyeshayo mungu bali ni ROHO zetu.... Uzuri wa sura na maumbo ya mwili ni mali ya Udongo ila Roho zote ni Mali ya mungu....Umeshasoma ndugu, kama umenielewa nipe Like ndipo nitambua kueleweka kwangu.
Hayo maneno tu, we jiangalie kutwa kucha unavyoshinda kuchagua mzuriImani yangu inasema "Binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu" Kumbe basi miili yetu siyo imwonyeshayo mungu bali ni ROHO zetu.... Uzuri wa sura na maumbo ya mwili ni mali ya Udongo ila Roho zote ni Mali ya mungu....Umeshasoma ndugu, kama umenielewa nipe Like ndipo nitambua kueleweka kwangu.
Ha ha ha!!!
Kama ni jiko tayari ninalo...
Imani yangu inasema "Binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu" Kumbe basi miili yetu siyo imwonyeshayo mungu bali ni ROHO zetu.... Uzuri wa sura na maumbo ya mwili ni mali ya Udongo ila Roho zote ni Mali ya mungu....Umeshasoma ndugu, kama umenielewa nipe Like ndipo nitambua kueleweka kwangu.