I need a caring Husband..............

I need a caring Husband..............

Heaven on Earth

Platinum Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,236
Reaction score
26,770
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......

nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....

IMG_20131021_00222327.jpg
 
Last edited by a moderator:
Imani yangu inasema "Binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu" Kumbe basi miili yetu siyo imwonyeshayo mungu bali ni ROHO zetu.... Uzuri wa sura na maumbo ya mwili ni mali ya Udongo ila Roho zote ni Mali ya mungu....Umeshasoma ndugu, kama umenielewa nipe Like ndipo nitambua kueleweka kwangu.
 
Dah! Unalipa kishenzi, hilo domo linafaa sana kwa nanihii, mwenzio anayekufaa ni Diamond, nitakirekebishia
 
Imani yangu inasema "Binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu" Kumbe basi miili yetu siyo imwonyeshayo mungu bali ni ROHO zetu.... Uzuri wa sura na maumbo ya mwili ni mali ya Udongo ila Roho zote ni Mali ya mungu....Umeshasoma ndugu, kama umenielewa nipe Like ndipo nitambua kueleweka kwangu.
hahaha,like itoke wapi kwenye simu,namtania tu heaven am not serious.
 
karibu sana nimeupenda mdomo wako najua wapi nitautumia vizuri zaidi !!
 
Hapo ulikuwa unajiandaa kwenda katika sherehe gani?
 
Tunahitaji jukwa la urembo, weekend hii nilikuwa kwenye sherehe, sitaki kusema lakini miti krismas ilikuwa mingi sana.
 
Back
Top Bottom