Yaani hata nashindwa ntaanzaje!hahaaaa ndo hivo na we si ulikuwa wataja kujifunza
ile mistari ya kisasa ya kuaproach nakusubiria
Heaven on earth ma dia utampat its just a matter of timeJamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
![]()
Heaven on earth ma dia utampat its just a matter of time
Yaani hata nashindwa ntaanzaje!
Nitampeleka akawe hausi gelo....
Hahahaha shosti Heaven on earth hiyo ndio siku pekee nlokupodoa ukapendeza kuliko
...umefanya vizur kuieka hapa nipate shemegi lol...
Ningekuwa nishakuacha ujuwe
Nimeshakutupia like if and only if you meant Mungu pale penye bold .
Mkuu hata usingeomba like, ningeitoa kiroho safi.......Unajua sometimes sio vizuri kumuonea mtu au kumtenga/kumnyanyasa kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wake, au hana maamuzi au utashi wake likiwamo la sura, kabila, ukoo n.k. ni mambo yanatukuta si kwa kuchagua sisi.
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
![]()
Tumeumbwa tofauti sana mkuu, usiusemee moyo wangu.Hayo maneno tu, we jiangalie kutwa kucha unavyoshinda kuchagua mzuri
Whattttttttttttt
Nacho kijua mashine itakuwa bomba mbaya!Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
![]()
hahaha ukigonga Kontesa utajua pa kumpeleka tu..Nimchukue kumpeleka wapi?
Mbona unashangaa...hutaki kazi ama?