I need a caring Husband..............

I need a caring Husband..............

Daah kama sura yenyewe ndiyo hiyo basi ujue Mungu kakuepushia mengi...No kupendwa,so hakuna stress za kufumania ama kukuta sms za other twiritu kwenye simu ya whom angekuwa mchumbako kama ungejaaliwa sura! Mwanamke sura bi dada,sambusa hata mbuzi anayo lol...
 
am here
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......

nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....

IMG_20131021_00222327.jpg
 
Wadada kama hao wanakua watamu kweli ingini zao bab kubwa
 
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......

nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....

IMG_20131021_00222327.jpg

aaaah...... Wii langu hilooo chezeiya wewe, watalala hoiiiiiii mbona, hapa mume lazima umpate kabisaa, na usipompata wallah naandamana alaah!
 
Last edited by a moderator:
yaan just only comment hakuna anayexema am ready to be ur hubby bhax dadaa kifunike tu hakiozi
 
Back
Top Bottom