nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Tumeamua kuja tu kuwapa hi, tunarud mafichoni tena kuendelea kupanga mikakati ya kuichukua nchi
Mzee wa pua hilo fungate lenu vipi kitu kilikatalia ndani nini?
Tumeamua kuja tu kuwapa hi, tunarud mafichoni tena kuendelea kupanga mikakati ya kuichukua nchi
Mzee wa pua hilo fungate lenu vipi kitu kilikatalia ndani nini?
Kaka Rejao shikamoo!hahahaha.....hatutaki stress ndio maana!! Tumeamua tujifaidi vilivyo kwanza!!
Marhaba my lovely Sisy!!
Tumeamua kuja tu kuwapa hi, tunarud mafichoni tena kuendelea kupanga mikakati ya kuichukua nchi
hahahaha....tunaifanyia reclamation!!Mnataka kuipeleka wapi?? Zimbabwe?
Na mkiinyofoa hapa si patabaki na shimo refu sana?
Mweeee! ndio nani tena huyu baba!
Thanks my dia Kipipi!You Are :welcome: back!
Hujambo Cantalisia! Hivi tushaonana wapi vile... najua ushakaribishwa nami kwa uwezo niliopewa na haka kadadavuzi mpakatio nakwambia welcome back and sit there. Haya nikumbushe basi Canty...
Thanks sn my darling shem!
I missed u sn!
hahahaha....tunaifanyia reclamation!!
Hujaacha tu vituko vyako?...lol
Mweeee! ndio nani tena huyu baba!
kaka unatisha.....unajipasia mwenyewe...kweli bwana chelewa chelewa utakuta mwana si wakoGirl of my dream huyooo...
Nashukuru umenikuta salama, imara kama chuma, mkavu kama mfupa!
Hahaha hahaha hahah,ulikuwa wapi weye? Mekusaka sana.. Hajambo mlokole? Karibu sana Cantalisia