Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Niliwamiss jaman lol!
Nashukuru mungu kwa kiwezesha kuwa nanyi tena!
I love you all!!!
Nashukuru mungu kwa kiwezesha kuwa nanyi tena!
I love you all!!!
Niliwamiss jaman lol!
Nashukuru mungu kwa kiwezesha kuwa nanyi tena!
I love you all!!!
Binti una kiherehere weye...
Ile kukufungulia tu, ushakimbilia huku kutoa taarifa.....!
Girl of my dream huyooo...
Nashukuru umenikuta salama, imara kama chuma, mkavu kama mfupa!
Hili jukwaa lilisababisha nikala ban last week, hivi masharti yake ni yapi?
Hahahah nimependa pozi la kitu cha chuga lol
Sikujua, kumbe na wewe ni teja...!
Niliwamiss jaman lol!
Nashukuru mungu kwa kiwezesha kuwa nanyi tena!
I love you all!!!