cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
kwi kwi kwi! kwa raha zako, "UWACHWE UPUMUWE" karibu mjengoni Cantalisia, lol, we missed u too!Jaman Baba yangu Mtambuzi hebu niache nipumue mie lol!
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi! kwa raha zako, "UWACHWE UPUMUWE" karibu mjengoni Cantalisia, lol, we missed u too!Jaman Baba yangu Mtambuzi hebu niache nipumue mie lol!
Girl of my dream huyooo...
Nashukuru umenikuta salama, imara kama chuma, mkavu kama mfupa!
Ulienda wapi Cantalisia ,nimepata stori zako kutoka kwa dingi ako Mtambuzi
kwi kwi kwi! kwa raha zako, "UWACHWE UPUMUWE" karibu mjengoni Cantalisia, lol, we missed u too!
nikipitisha siku, sijatinga jamvini, huwa nahisi kuumwa kabisaaaaaaaaa, so i can imagine u, ulivyokaa muda mwefu! nways karibu sana!
afu wewe nina kesi nawe!! na nimeshatimiza sala ya 'baba yetu' wasamehe wale waliotukosea!! msamaha wako umepita kitamboooooooooooo, ila uzushi mbaya babu Mtambuzi na tabia ya kuexpose picha za watu hovyo, we haya tu!
Miss you too baby sister. Yaani bora umekuja, dingi amekuwa kicheche siku hizi anafukuzia hadi upepo. Tutaongea vizuri baadae tupange mkakati.
Wow karibu sana Cantalisia
Pole mwaya ka vp badilishana na jirani