I Miss You- Diamond Platnumz

I Miss You- Diamond Platnumz

Umeongea fact yani lizer anaharibu nyimbo zao kwanza beats zake zinafanana halafu now kwakweli zishaanza kuchosha.
Bora angekuwa anahamahama kama zamani mara kwa man walter mara kwa manecky mara kwa kjt hapa angekuwa ashpiga goma na touch sasa huyu lizer anazingua yani
Mimi alishanichosha tangu siku ya kwanza kisikia wimbo umepigwa na huyo lizer wa wcb nilishasemaga hakidhi vigezo, hata vya hapa nyumbani.
unajua kuwa kuna producer wanatengeneza beat afu unapachika sauti tu...
sasa beat likiwa baya ina maana hata uimbe nini kitakua kibaya, ndio diamond sasa...
lakini sielwi kwanini haelewi hilo ,kama mimi mtazamaji nmeshaliona tangu zamani.

waweza sikia diamond Ft future beat by Lizer... hapo ndipo ntakapo mu- unfollow kabisa...
maana sasa hivi analeta mazoea sio mziki
 
Diamond anamuamini Lizer...
Na kwakuwa anamuamini,kijana atakuja kuwa vizuri tu..!
Basi acha amuamini, azidi kutoa madudu ambayo hata Bet anayoisema anaweza asiingie tena

diamond kaanza kuishi kwa mazoea kama tabia za kiba
 
Hivi wakuu huyo Harmonize amekuwa mcheza show wa Diamond siku hizi???

Nauliza tuu
 
Mimi alishanichosha tangu siku ya kwanza kisikia wimbo umepigwa na huyo lizer wa wcb nilishasemaga hakidhi vigezo, hata vya hapa nyumbani.
unajua kuwa kuna producer wanatengeneza beat afu unapachika sauti tu...
sasa beat likiwa baya ina maana hata uimbe nini kitakua kibaya, ndio diamond sasa...
lakini sielwi kwanini haelewi hilo ,kama mimi mtazamaji nmeshaliona tangu zamani.

waweza sikia diamond Ft future beat by Lizer... hapo ndipo ntakapo mu- unfollow kabisa...
maana sasa hivi analeta mazoea sio mziki
Laizer ndiye anaharibu nyimbo za diamond yani mi beat yake sijui ikoje hata mimi najiuliza ina maana team nzima.imeshindwa kung'amua hilo
 
Basi acha amuamini, azidi kutoa madudu ambayo hata Bet anayoisema anaweza asiingie tena

diamond kaanza kuishi kwa mazoea kama tabia za kiba
Kweli ameanza kuish kwa mazoea na sasa hivi jina alilojenga ndilo linambeba siyo mziki mzuri ambao unaangushwa na mi beat ya laizer
 
Siyo shabiki wake Lakini video ya I miss you Nimeipenda na kuielewa vizuri sana
 
Laizer ndiye anaharibu nyimbo za diamond yani mi beat yake sijui ikoje hata mimi najiuliza ina maana team nzima.imeshindwa kung'amua hilo
Ndio maana nasema diamond ameanza kuishi kwa mazoea sasa...
anaamini hata akifanya madudu tutakua pale kumsapoti, au kama sivyo watu wasioelewa kiswahili watamsapoti ndio maana ....ila angejua anapoteza watu walokua attention kumsikiliza anytime
 
Back
Top Bottom