I Miss You- Diamond Platnumz

Najua hutaki kukubali maana unategemea career yake uishi lakini huo ndio ukweli. Jiandae tu kukubaliana na ukweli. This is a bitter truth as it is hard to swallow, it is painful truth.
Narudia tena... hizo ramli zako zimeanza kupigwa miaka kadhaa iliyopita:
August 15, 2015:
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena Diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.

Namuonea huruma sana..
January 27, 2015:
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki,
November 20, 2014:
Diamond kweshiney nimesiki huo wimbo wake hamna kitu
Tena kuna vijana wengi tu wameachia ngoma zao week hii wamemfunika chibu bye bye Domo mr nice yuleeee anakusubiri kona bar mkacheze pool table!!
November 30, 2013:
...Baby Madaha alisema kwamba, “Binafsi niliposikia kwamba Diamond anaumiza kichwa kunasa penzi la msanii Elizabeth Michael maarufu kwa jina la (Lulu) sikushangaa hata kidogo. kwa sababu nilitambua kwamba soko lake la muziki limeanza kushuka hivyo lazima atafute eneo lingine la kujiimarisha kibiashara, ili jina lake liendelee kuwika”.
March 21, 2011:
namhurumia dogo almas toka pa shoka hapaingii kisu na soon ataanza kushuka kimuziki huyu wema nae kama katiwa ndimu!
Hao ni Wapiga Ramli wenzako ambao, kibarua ulichoanza wewe leo hii wenzako wameanza kukifanya zaidi ya miaka 5 iliyopita!!!

They keep waiting to see his downfall and it's your time now to join their club... Fortunetellers' Club and then keep waiting like your fellow (un)fortunetellers!!!
 
Naona kishaanza kurudia rudia nyimbo zake za zamani ahaaa ahaaa kumtetea Bashite hakujawahi kumuacha mtu salama
 
I like 'I miss U' hasa ile original version iko ina-sound poa ila Laizer apunguze yale matarumbeta sijui naona battle na wale wapopo wa Nageria imekua ngumu tena ukiangalia joint zao walizo toa recently ziko mbali sana na hizi mbili za Chibu,our kiddo need to roll up his sleeves naona ame-relax kidogo.
Namuamini Chibu kwenye promo hope atazosogeza hizi ngoma angalau tuwashtue kidogo hapa kati wametusahau kama tuna exist hatuna ngoma kwenye mzunguko.
 
kazi za huyu jamaa za sasa sio kama za zamani. hata maini kushtuka tuu hapana just watching kama vikatuni.... tbe man is really falling.... producer wake anazingua nae...
mwaka wa tatu huu sasa bado maneno yenu hayo hayo
 
I like 'I miss U' hasa ile original version iko ina-sound poa ila Laizer apunguze yale matarumbeta sijui naona battle na wale wapopo wa Nageria imekua ngumu tena ukiangalia joint zao walizo toa recently ziko mbali sana na hizi mbili za Chibu,our kiddo need to roll up his sleeves naona ame-relax kidogo.
Namuamini Chibu kwenye promo hope atazosogeza hizi ngoma angalau tuwashtue kidogo hapa kati wametusahau kama tuna exist hatuna ngoma kwenye mzunguko.
Ushauri wako uko vizuri sio kama hawa wengine wenye majungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom