I Miss You- Diamond Platnumz

ila jamani hivi diamond haona kuwa lizer ana mshusha? producer hana ubora kwrnye fire kapiga madudu sana... hivi madale hakuna sanduku la maoni au ndo waha????diamond hasikii haelezeki ..
zamani alikua mtu wa kukamatia fursa sasa hivi ungesikia hio fire imepigwa alikopiga davido if...
yani alikua anakamata fursa ajabu
..
sasa hivi kamng'ang'ania huyo lizer ambae hata ttouch hamfikii ampigie ma beat msanii mkubwa kama yeye ,anatiaje aibu!!!! hivi akina babu tale na salam nao hawajaliona hili?

au hawajui beat linabeba wimbo? hivi davido katika if & fall ameimba nini? ila beat
au hajui kwamba darassa akitoka kwa Ttouch atafulia? Beat ndo mpango mzima kwakweli
 
hiyo video ni kali sana, nimeangalia mpk sasa nairudia rudia kuipiga na kuangali.....big up bro
 
ila jamani hivi diamond haona kuwa lizer ana mshusha? producer hana ubora kwrnye fire kapiga madudu sana... hivi madale hakuna sanduku la maoni au ndo waha????diamond hasikii haelezeki ..
zamani alikua mtu wa kukamatia fursa sasa hivi ungesikia hio fire imepigwa alikopiga davido if...
yani alikua anakamata fursa ajabu
..
sasa hivi kamng'ang'ania huyo lizer ambae hata ttouch hamfikii ampigie ma beat msanii mkubwa kama yeye ,anatiaje aibu!!!! hivi akina babu tale na salam nao hawajaliona hili?

au hawajui beat linabeba wimbo? hivi davido katika if & fall ameimba nini? ila beat
au hajui kwamba darassa akitoka kwa Ttouch atafulia? Beat ndo mpango mzima kwakweli
Kwa kweli laizer hata mimi anaanza kunichosha aisee Mond inabidi arudi hata kwa tudd tu abadilishe radha ya beat.
 
ila jamani hivi diamond haona kuwa lizer ana mshusha? producer hana ubora kwrnye fire kapiga madudu sana... hivi madale hakuna sanduku la maoni au ndo waha????diamond hasikii haelezeki ..
zamani alikua mtu wa kukamatia fursa sasa hivi ungesikia hio fire imepigwa alikopiga davido if...
yani alikua anakamata fursa ajabu
..
sasa hivi kamng'ang'ania huyo lizer ambae hata ttouch hamfikii ampigie ma beat msanii mkubwa kama yeye ,anatiaje aibu!!!! hivi akina babu tale na salam nao hawajaliona hili?

au hawajui beat linabeba wimbo? hivi davido katika if & fall ameimba nini? ila beat
au hajui kwamba darassa akitoka kwa Ttouch atafulia? Beat ndo mpango mzima kwakweli
Diamond anamuamini Lizer...
Na kwakuwa anamuamini,kijana atakuja kuwa vizuri tu..!
 
ila jamani hivi diamond haona kuwa lizer ana mshusha? producer hana ubora kwrnye fire kapiga madudu sana... hivi madale hakuna sanduku la maoni au ndo waha????diamond hasikii haelezeki ..
zamani alikua mtu wa kukamatia fursa sasa hivi ungesikia hio fire imepigwa alikopiga davido if...
yani alikua anakamata fursa ajabu
..
sasa hivi kamng'ang'ania huyo lizer ambae hata ttouch hamfikii ampigie ma beat msanii mkubwa kama yeye ,anatiaje aibu!!!! hivi akina babu tale na salam nao hawajaliona hili?

au hawajui beat linabeba wimbo? hivi davido katika if & fall ameimba nini? ila beat
au hajui kwamba darassa akitoka kwa Ttouch atafulia? Beat ndo mpango mzima kwakweli
Umeongea fact yani lizer anaharibu nyimbo zao kwanza beats zake zinafanana halafu now kwakweli zishaanza kuchosha.
Bora angekuwa anahamahama kama zamani mara kwa man walter mara kwa manecky mara kwa kjt hapa angekuwa ashpiga goma na touch sasa huyu lizer anazingua yani
 
Hawezi kuwa kama yule wa zamani kwa sasa bora ajikite kuwasaidia wasanii wenzake..Betri imeisha chaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom