Ivenosa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 210
- 80
mmeoana?..............hahahahahahaha.....mkuu,yale matando na makoko yalikuwa matamu kuliko ubwabwa wenyewe!
Mi nilipigwa mwiko wa paji la uso na housegirl,hadi leo nna alama ya milele!....surprisingly,ndo akaja kuwa mama wa my first-born!..jembe langu la ukweli sana leo!