Naona unakumbuka enzi za Amitabh Bachan na Mithun Chakraboty ...
I miss wali wa zamani ulikuwa na kaharufu kazuri sana , lazima tuoge mapema sana siku hiyo .
I miss those days marehemu baba akija usiku katupia vitu vyake anaweka cassete ya kanda bongoman anatushindanisha kukata mauno watoto wote mshindi anapewa sh.20 mara nyingi nilishinda
Zamani Watanzania kila nchi tulijua imetupita kimaendeleo
watu walikuwa wanazamia hata Mozambique ...
you really touched my heart, i miss them too, luckly i married the girl from those days, kasoma hii message kaliaHahaaa enzi za Bruce Lee, Commando John, Michael (Ddcorf) wa kwenye American ninja, govindra, Ashantii yaani I miss those days looh
Zamani Watanzania kila nchi tulijua imetupita kimaendeleo
watu walikuwa wanazamia hata Mozambique ...
I Miss those days sikukuu usipovaa spesho hujatoka bado
I miss those days za kucheza kombolela sio noq m play station tu
I miss those days mtihani wa taifa ni taifa kweli ukimaliza la saba wapewa hongera mtaa na ndugu wote
I miss those days watu waliokuwa wananitongoza nilikuwa nawasemea kwa mama but now nakaushia tu au tunamalizana kiutuuzima lol
I miss those days hapakuwa na wapambe. .. .. .
I miss those days ukumbi wa harusi unapambwa kwa toilet papers za pink na light blue.
Na suruali mchelemchele
Na kurudi nyumbani kusikiliza mchezo wa mzee jangala...
I Miss those days sikukuu usipovaa spesho hujatoka bado
I miss those days za kucheza kombolela sio noq m play station tu
I miss those days mtihani wa taifa ni taifa kweli ukimaliza la saba wapewa hongera mtaa na ndugu wote
I miss those days watu waliokuwa wananitongoza nilikuwa nawasemea kwa mama but now nakaushia tu au tunamalizana kiutuuzima lol
na shati za bahama na kiatu cha MOKASINI....
Mimi huwa namiss simu za kukoroga na zenye kufuli
na kabati la tv pia lina kufuli...au tv kukaa chumbani kwa wazazi
hadi wakague madaftari ndo waitoe sebuleni
Yaani Enzo za kuvaa vitop, sketi za charanga nazikumbuka sana na pensi nyanya je unazikumbuka? Hahahahahaaa
Hahahahaaa The Boss you know where we have our lunch lunch and you know where to find me looh.Mimi huwa namiss simu za kukoroga na zenye kufuli
na kabati la tv pia lina kufuli...au tv kukaa chumbani kwa wazazi
hadi wakague madaftari ndo waitoe sebuleni