I miss those days

I miss those days

Hahahaa mkuu nimecheka sana hiyo madeni china...ndo zilikuwa zangu kumbe tulikuwa wengi lol.... Heaven Sent we ulikuwa unasomaje kwa mfano

Mi nilidhani wewe ni dotcom kumbe akina sisi....Hii thread imenifanya nijue wazee wenzangu!
 
Mi nilidhani wewe ni dotcom kumbe akina sisi....Hii thread imenifanya nijue wazee wenzangu!

Hahaa yan wewe unanichukuliaga poa kweli....unaniweka kwenye kizazi cha dotcom mwee hem ntake radhi...au nafanana nao?
 
Hahahaa mkuu nimecheka sana hiyo madeni china...ndo zilikuwa zangu kumbe tulikuwa wengi lol.... Heaven Sent we ulikuwa unasomaje kwa mfano

Teh kama kawaida "madeni china". Afu kwenye jisong la A, B, C, D.... Sasa kwenye L, M, N, O, P unapiga " Elo Meno P, Q. Na petroleum nilikuwa Napiga tu "petroliumu"
 
Last edited by a moderator:
I miss the days when X-mas was X-mas. Enzi bila kicks zinazowaka chini, sikukuu haijawa.

Those days mnacheza magoli madogo, unacheza kipa na ndani.

Them days nilikuwa naisubiria Ijumaa kwa hamu ili niicheki Renegade ya Lorenzo Lamas.

Hawa watoto wa siku hizi wanakosa vingi mno.
 
I miss those days narud home nimechelewa af nazuha kibarazani kwanza naongea kwa sauti ili.ndani wasikie nipo around muda!hihihi Kasie bana!umewaza nini?
 
I miss the days when X-mas was X-mas. Enzi bila kicks zinazowaka chini, sikukuu haijawa.

Those days mnacheza magoli madogo, unacheza kipa na ndani.

Them days nilikuwa naisubiria Ijumaa kwa hamu ili niicheki Renegade ya Lorenzo Lamas.

Hawa watoto wa siku hizi wanakosa vingi mno.

Unakumbuka series ya LIFE GOES ON? Nilikuwa siikosi...
 
Unakumbuka series ya LIFE GOES ON? Nilikuwa siikosi...
Zangu zilikuwa Fresh Prince, Family matters, na Hangin' with Mr Cooper. Kipindi hicho unakariri episode nzima, ili ikiisha mnafanya version yenu na brothers.
 
Ha ha haaaa.......
Nakumbuka wakati huo hamna jezi za mpira. Solution ilikuwa timu moja wanavua mashati na wengine wanavaa.
 
i miss those days ukitumwa dukani unaimba njia nzima ili usisahau.....mtiti unakuja umefika dukani halafu pesa umeidondosha njiani...lol hapo unawaza bakora za nyumbani. zile shilingi tano za coin (gwara) nilikuwa napoteza sana mara kwa mara!
i miss those days unaokota hela kwenye mchanga ina kutu kweli kweli hasa hasa sumni,shilingi.sh tano halaf unaisugua na mguu kwenye mchanga....hahaha ukifika nayo nyumbani ukisema tu umeokota basi vile vijeba vinakupokonya. daah hapo watadai yao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom