Kongosho unatamani nikwambie jaribu, na sikwambii.
Bujibuji subiri Mwita Maranya aje mwenyewe kama atapenda akueleze amenifanyia nini. By the way, wewe huwezi kuzijua siri zangu maana wewe sio msiri wangu. Msiri wangu ni Kaizer hata Mwita analijua hilo.mwaJ ninazijua siri zako zooooote, kumbe Mwita Maranya kakuendea kwa waganga
Bujibuji subiri Mwita Maranya aje mwenyewe kama atapenda akueleze amenifanyia nini. By the way, wewe huwezi kuzijua siri zangu maana wewe sio msiri wangu. Msiri wangu ni Kaizer hata Mwita analijua hilo.

Huyo msiri wako siku utamkuta anapekua sirini ndio utajua kwa nini hukumfanya msiri wako kuwa anayefika sirini bila siri
hii ndoa imepitishwa lini?? Mbona sijajuzwa na Baba V??
Bujibuji subiri Mwita Maranya aje mwenyewe kama atapenda akueleze amenifanyia nini. By the way, wewe huwezi kuzijua siri zangu maana wewe sio msiri wangu. Msiri wangu ni Kaizer hata Mwita analijua hilo.
Huyo msiri wako siku utamkuta anapekua sirini ndio utajua kwa nini hukumfanya msiri wako kuwa anayefika sirini bila siri
We Kongosho usilete huo ushauri hapa maana naona Mwita Maranya kishakutupia like. Huo utaratibu wa kuwa na mume na msiri umewekwa kikatiba hivyo haubadilishiki.