I miss my old self . . .

jouneGwalu, mbona hujaniambia kuwa Mamndenyi ndiye ambaye kwamba wako?
Ndio maana ananionea huruma sana kwa vituko ninavyofanyiwa na mwaJ

Bro Buji mbona nilikwambia asee, sema we saiv hizi totoz za hapa jukwaani zinakulevya sana basi husomi PM wala VM za wadau, ukishajua huyu ni HE basi unatupa kule.........

Huyu Mama atatutoa kaka, mi ndio nimekuja kugundua baada ya kupoteza mda mrefu na binamu yangu hapo chini kumbe naye nuksi tupu

Hujaona VM yangu pale?

Pamoja na mizombi yangu, nam-miss na ninajua unaumia moyoni

Mhh niliona nikacheka sana.....

Mbona hisia zetu zinafanana Bina au ndio ule msimu wa nyama ya hamu umefika??
 
Asnam bana, sasa unampa Konnie pole kwani ukubwa ni ugonjwa? Haiwezekani wote tukawa 20-25 years old, lazima wengine tuwe dada zenu au kaka zenu.

mawazoni nilijua Kongosho ni mama wa makamo lol tena hapo nakuta hivyo ikabidi akili ichanganyikiwe.
 
jouneGwalu
kama uko sawa tuendelee na maombi
pengine msimu huu wa mvua hizi za sasa mambo yanaweza kuwa sawa.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…