Sasa "new u" na hilo lizombie lako mungu gani atakusikiliza haki ya Mama...... Najua tu unaniwangia asirudi tena sawa bwana.
Mamndenyi jamani hebu ingilia hapa, nahisi Binamu yangu ananishinda sasa!
mwanamke umelegezwa wewe!!!!!!!!! lol!
umemiss bikira maria ulyokuwa nayoLeo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .

We acha tuHahaha...kweli ngoja niendelee tu kusubiria dodo chini ya mwarobaini huenda likadondoka siku moja, eti Konnie alikuwa mtawa!!!
Natamani arudiSasa "new u" na hilo lizombie lako mungu gani atakusikiliza haki ya Mama...... Najua tu unaniwangia asirudi tena sawa bwana.
Mamndenyi jamani hebu ingilia hapa, nahisi Binamu yangu ananishinda sasa!
mwanamke umelegezwa wewe!!!!!!!!! lol!
Ndo imeshatokea sass......
dah hapo kwenye gold umenishtua ujue,hw old are you?ulivyoleta mambo ya zombie nikajua ndo umebalehe juzi kumbe ni kijeba loh pole sana.
Kulegezwa ukalegea juna raha yake
kha yamekuwa hayo?
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
Sasa na wewe Mama mpaka useme hapa??
Nimeliona libinamu limefurahi hadi limekupa laiki tehe tehe tehe tehe Mama umegusa Mtima wangu
Leo umeamua kuwa mwanamke kwenye hii thread siku nyingine unakuwa mwanaume we vipi?Kweli umebadilika umekuwa mapepe sana.
Usiumie rafiki yangu...haijalishi umebadilika kiasi gani, ila Konnie ataendelea kuwa Konnie...We acha tu
Yaani nilijikumbusha nikaumia moyoni ujue?
jouneGwalu
tukubaliane kimsingi kwanza,
are you ready?
sitaki tena uanze kulalamika kama Bujibuji anavyolalamikiwa na mwaJ.
Hahahaha hivi naye mwaJ yamemkuta kwa huyo ndugu Bujibuji??
Mi si nimekubali Mama mbona unanibana sana jamani?? Ngoja nikunong'oneze kitu!!
(Nenda kwenye profile yake utakuta kuna VM nimemwachia labda itatosha kukushawishi kuwa mwanao nakesha nikiomba)
Ila huyu Mtu anayehangaika na Mazombi ndio ananiharibia maombi yangu!