allen lugoley
Member
- Nov 5, 2014
- 66
- 37
hahahaa, haswaaHivi nye.ge mtifuko huwa hazijawahi kumuacha mtu salama...
hahahaa, haswaaHivi nye.ge mtifuko huwa hazijawahi kumuacha mtu salama...
Wanawake bwana akili zao wanazijua wenyewe.....Kuna demu mmoja napiga naye kaz yy harus yake mwishoni mwa mwez huu ....Ninavyoandika hapa ametoka geton kwangu mda c mrefu NA haipit siku mbili bila kutia timu ....Sasa nawaza nn kilimfanya akubali kuolewa huku hajamaliza ujana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa viwango vya % kwa kweli sijui ila inaleta dalili mbaya kua wapo wengi hata zaidi ya 50%je asimilia hii ya wanaolia hapa Jf ina represent asilimia ngapi ya wasotumia Jf ?
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Mm nakuchana nilikwambia ata kama tumegombana lakini huwezi kuropoka vile....et oooh kwenda ...kwanza kibamia ww....mbele ya shoga zako kwel.....hebu msinichekeshe mimi
Sasa mtu alishaachana nae halafu anarudi kufanyeje wakati ana mwingine?
JF ya sasa ina watunzi Wengi wa tamthilia....Story nyingi za uongo uongo bongo movie.Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.
Umejoin leo leo.
Tayari una mume umempata JF.
Na tayari una una EX unaemmisi.
Ptuuuh.
I'm confused too my;I think ni story lke other stories she can't be serious!!hai make sense bana hyu anazingua!kuchangamsha jukwaa!!Sasa mtu alishaachana nae halafu anarudi kufanyeje wakati ana mwingine?
brain is the beautiful part of the body.

Ukioa mke ambae sie bikra jua umeoa mke wa mtu au watu uthibitisho ni huu uzi
2logM@km
Matatzo mengi tunajitengenezea sisi wenyewe ndio maana unaona huyu mwenzetu anafurahia matatzo kulko kukemea matatzoaahahaha sio kweli bwana !ndio hakuna alokamilika..lakin kurudiana na ex ni bonge ya dharau aic
Difenetely! It seems being so...I'm confused too my;I think ni story lke other stories she can't be serious!!hai make sense bana hyu anazingua!kuchangamsha jukwaa!!![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaha kwa kweli zinja
Sasa kama si mtumiaji mzuri wa jf wewe alikupataje???Mbotwasana huyo kafa kaoza kwangu hata akiona najua jinsi ya kumtuliza istoshe I doubt kama ataona si mtumiaji mzuri wa jf
Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app