I miss my ex man so much jamani

I miss my ex man so much jamani

Hata mahari haijatolewa umeshaanza kuhangaika na ex wako aiseeh wewe mwanamke ni hatari sana, na kule umetuambia mbotswana lazima auone huo ujumbe huku tena ooh hawez kusoma jamani. Embu jitahidi utambue ni nini unakihitaji kabla ya kuingia kwenye ndoa mydear, ndoa sio jambo la sport sport. Embu kuza akili kwanza ndio muendelee na process za mahari.
 
hii kali jaman! hv mnapataga ngv gan za kurudiana na ex wenu? yaan ww dada utakuwa na ndoa ngumu na chungu sana sana! mbn nakuhis km unashida? naogopa kukuita ma.la.ya kwasabb sijui unawaza nn.... aise wewe hufai sijui ukiwa unarud tzee si utakuwa unafikia kwa hyo ex wako jaman!...shda 1 mnayokosea mnawakumbukaga kwa mazuri... iweje umkumbke ex wako lakin... aise mie nna shda sehem!..anywys utakuja lia hapa nxt yr wewe... yaan acha tudharirike tu tutukanwe tu kwaajili yenu aic! kha!... mie siwez mfeel tena jaman ex hata iweje bora nisonge mbele....

kila siku mie nasema humu hatujajitambua tunataka nn yaan ww unataka uonekane UMEOLEWA BASI! pathetic
Nae eti mwanamke.. Woooiii!!!!

Sijaona mtu mwenye mchumba hapo ni kiki tu za kitoto
 
Ukichunguza kwa ukaribu siku za hivi karibuni thread za kulilia wanaume zimeongezeka sana,hiyo ni dalili mbaya kwamba tu wapweke mioyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
je asimilia hii ya wanaolia hapa Jf ina represent asilimia ngapi ya wasotumia Jf ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom