I hope Smile is smiling at me right now!!!!!!!!!

Una Range rover,umeshajenga nyumba na una tembo card master card?

akiyakazania hayo moyo wangu utamhama kiujumla.................if she is a material gal..................my heart will not surrender unto her.......it is a deal and a covenant I shall never attempt to break.........
 
Yeye sio material gal coz tayari yuko fiti kwa kila kila na amejikamilisha kbs,
Hayo ni maswali yangu km mpambe ninayetaka kujua umejiandaa andaaje?
Ishu ya moyo tayari umeshazima kwake ndio maana upo hapa tayari na ninakupigia debe!
 
point taken and noted.........
 
kwani hunaRange rover, nyumba na tembo card master card

kama ninavyo ujue hutakuwa pekee yako...............ni vyema tukaanza kuvitafuta tukiwa sote..............waonaje hapo?
 
Ruta hangover ya 'nguli' naona haijaisha maana bado unaweweseka!Pole, lakini wanawake wa mjini utawaweza weye? Katafute wa kanyangereko ndugu yangu hawa wa masaki watakutia wazimu bure.

Unataka kumzunguka mwenzio apigwe chini halafu wewe ulambe mzigo. Ruta achana na maneno ya Bishanga ngoja nimwite mke wangu Sweetylady amshawishi huyu binti
 
tajiti hii wkend tunatokaje
 
Unataka kumzunguka mwenzio apigwe chini halafu wewe ulambe mzigo. Ruta achana na maneno ya Bishanga ngoja nimwite mke wangu Sweetylady amshawishi huyu binti

Kumbe na wewe umemshtukia bishanga eeh?? Leo mwekeeni kauzibe kabisa, atazoea kuharibia wenzie.......after all siku hizi kafulia!! Lol
 
Kafulia kweli, cheza na familia utadhani timu ya mpira halafu naona kama kachanganyikiwa hivi au unamuonaje
 
Back
Top Bottom