I hope Smile is smiling at me right now!!!!!!!!!

I hope Smile is smiling at me right now!!!!!!!!!

Nipo nae huku Tunajamiiana, n she is so serious on da point, she respond +vely on each issue i introduced. She is the best ofcourse (SMILE keep on Smiling)

NOTE:kujamiiana- kufanya shughuli za kijamii pamoja(sociology)
mkuuu? khaaa mama yangu
 
Mamito Smile popote ulipo njoo huku Ruta anakutafuta mapigo yake ya moyo yako speed mbaya juu yako!njoo umsikilize kilio chake!

angalau mmeanza kunipigia debe....................ninafikiri nitafanikiwa safari hii.......lool
 
Afadhali mpnz,mtafute maana tangu mda mrefu hapa anakutafuta umsmilie na kuutuliza moyo wake kijana wa kihaya!ila vigezo na masharti kuzingatiwa shosti!

Yaani Cantalasia wewe umenikuna pia kwa hili debe hata madada wangu hawawezi kukufikia.......
 
mwenzangu sijui nimemfanyeje kijana wa watu ngoja nimtafute

hujui unifanyie nini la muhimu nipooze na penzi lako tu.............nitapoa...........
 
siskii kabisa wagambaki ruta?

kama hadi wa leo hujanisiki basi niandike nimekwisha..........kabisa kabisa.................lol
 
inawezekana ikawa kweli lakini sijui

inawezakna mmejamianaa lakini hujui......................mbona umefifilisha matumaini yangu kwako kiainaaina hivyo..........
 
Nafurahai km umekunika lol!
Usijali nitafurahi sana ukifanikiwa,ila umejiandaaa andaaje?

kujiandaa kwa vipi silaha zote ninazo.............au kuna maandalizi mengineyo
 
Back
Top Bottom