FINANCIALLY MADEMU NI LIABILITY KUBWA SANA KWA KIJANA!
Kua na madem wengi kwa wakati mmoja sio ujanja wala urijali kwangu.nadate na mmoja tu,tukiachana si basi natafuta mwingine kwani wanawake wameisha au wanapatikana kwa manati!?
tupo pamoja mkuu...
Back in days nlijua bila demu siishi baada ya kuamua kuhangaikia ndoto zangu (uhuru wa kifedha, afya, Kesho yangu) najikuta mwanamke kwa sasa ana mchango mdogo sana kwangu, , , Nimemove on from ghetto to Home(with my family)ile love 💕 kwa demu nimehamishia kwa maza na my small cousin , life linasonga zaidi nazidi kwenda mbele nikiwa sina demu.../mpenzi......pia namshukuru Mungu kwa kariba ya aibu....i don't seduce.....
No stress