I don't call it cheating, I call it having a plan B...

Wakuu lengo sio kuhalalisha dhambi. Inafikia moment moyo wako unakua daraja la kupitia watu we upo tu na kama unavyoelewa maumivu ya mapenzi yalivyo ndio maana nikasema ni heri kua na ka contingency plan pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa, i hope hiyo excuse itakupa msamaha uione pepo if not, its not worth it
 
FINANCIALLY MADEMU NI LIABILITY KUBWA SANA KWA KIJANA!
Kua na madem wengi kwa wakati mmoja sio ujanja wala urijali kwangu.nadate na mmoja tu,tukiachana si basi natafuta mwingine kwani wanawake wameisha au wanapatikana kwa manati!?
Waambie hao...wanafarijiana ujinga.
Ukimchoka mtu mwambie siyo kumzungukazunguka uje umpe jeraha la moyo.
Wakuu lengo sio kuhalalisha dhambi. Inafikia moment moyo wako unakua daraja la kupitia watu we upo tu na kama unavyoelewa maumivu ya mapenzi yalivyo ndio maana nikasema ni heri kua na ka contingency plan pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usimuache ukatafuta mwingine??
Kama ni kwenye ndoa hata ya kanisani inavunjika kwa sababu ya uzinzi.
 
Looooh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utaoa lini nyani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiwa na 1000, hwezi penda wote. Kuna utakayempenda na atakuacha sababu atakudaka tu ukiangaika na hao 999. Bado hujatatua tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…