"I am just a small boy"

Umeona mazungumzo yalivyokuwa hapo Kaizer?
wala hatukuwa tunahashuana,
atanianzia wapi kwanza?
chezea dada mkubwa wewe!

hahahah pa kuanzia papo @FP, ndo kama hivo umekuwa curious tayari keshjo utamtizama kwa jicho la tatu (Mungu apishie mbali)

ila on a serious note, kama ni katika muktadha huo basi huu mnakasha una tija kwa sababu kuna watu wanaamini kuwa at 30 bado ni wadogo kimajukumu, 'hawajaoa' so 'bado wadogo'.....nimewaona wengi huyo anawakilisha sehemu ya wengi wenye maono hayo

kwangu mimi ni maoni mfu na kukwepa majukumu, kwa miaka 30 mwanaume kamili asiye na kikwazo chochote anatakiwa awe ameshakamilisha mambo ya msingi katika maisha ikiwemo kuoa. La sivyo, sidanganyiki na kauli mbiu ya 'maisha kuanza ukiwa na miaka 40' kwani upo jangwani kama Yesu? khaaa
 
ahahahhahaahhaha babu mi nilitoa mfano tuuu!
yani ilikuwa hivvv
dada mkubwa alisema anataka mtu wa kumwamkia
mi si ndo nikakukumbuka saaasa!
nikapiga cross pale tik tak nikajilipua kwa niaba yako!lol!

Sasa wewe nawe....unajilipua kwa watu ambao hata kurudisha pass hawawezi??

Ungeangalia kushoto na kulia kabla ya kupoteza golden chance bwana...

Babu DC!!
 
haha haaa, nampenda sana mdogo wangu wa kiume......
fikiria yeye ni last born na ni mvulana pekee.... anakaribia 30, hajaoa...
lakini tangu akiwa mdogo alikuwa anatuambia kabisa kuwa yeye ndo kaka na atafanya lolote kuhakikisha familia ipo vizuri...
fikiria sisi dada zake wote tumeolewa, lakini yupo busy sana kuhakikisha mambo yetu yanaenda vizuri na kutuangalia kama kaka yetu. yaani yeye bado anajiona ndo mkubwa katika familia yetu, kila wakati anawaza tufanye nini kwa ajili ya familia.
sasa huyu ambaye kaoa na bado anajiona small boy ndo ananishangaza
 
ewaaaaa......safi mwalimu snowhite na mtaala wako sio wa vichochoroni kama wa kawambwa

naanzaje kuwa na mtaaala wa kichochoroni saasa!
wanafunzi wangu wangekuwa ni wa aina yako!
aaaa wapi!
chezeya mwanafunzi kuuliza swali kama alilouliza mwalimu kwa maneno mengine wewe!
dada kubwa ujue hujamjibu mwanafunzi wangu hivooo kwa hiyo hapa umekuwa barrier kwenye learning process yake!hebu mupe majibu ya kueleweka !usijali atayapima mwenywe kama yana ukweli ama la!hilo pia yupo vizuri!
 
Hivi kuna mtu hapendi teachers kweli.....

Kuna mmoja alikuwa ananifanya nachanganyikiwa badala ya kusoma...lol!!

Babu DC!!
he he heeeeee....
hukuwahi kumtokea mwalimu kweli? hata chuo tu.......:shut-mouth:
au wa chuo sio walimu?
cc. gfsonwin snowhite
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna mtu hapendi teachers kweli.....

Kuna mmoja alikuwa ananifanya nachanganyikiwa badala ya kusoma...lol!!

Babu DC!!
hahahahahhahahahhahahhahahhahah watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeweh! Perry kuna haja ya kuanzisha huu uzi!
kuja hapa uone mijikofia ya mwalimu!
:A S-heart-2:
:A S-heart-2::A S-heart-2:
:yo::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
MTUWAAAACHE NA TAALUMA mama yetu!af pande zote sasa!babu alishaaga humu oh naenda kuwapa wajukuu paukwa pakawa
kasikia walimu wanatajwa huyo!
pana chezeya mwalimu bana!pana chezeya kabisaaaa!
 
Last edited by a moderator:
swali gani hilo sijajibu mlongo wangu?
 
ngoja na mimi nibadili profession....
inakubalika muuzeye humu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…