"I am just a small boy"

ha haaaa, sipati picha mume wangu analialia bila sababu, lol!
kama mamake hakumfanya ajione yeye ndo kidume atajifunza kutoka kwangu kilazima....
sasa mume akiwa analialia na mimi nifanyaje?
 
Mbona mimi nautamani uzee, yaani kila siku katika maombi yangu sijawahi sahau kuuomba uzee ili niweze kuwalea vizuri wanangu, wajukuu, vilembwe na vilembwekezi wangu.
hata mimi natamani uzee, ila sio ule wa kuanikwa na kuanuliwa kama unga, lol!
 
ha haaaa, sipati picha mume wangu analialia bila sababu, lol!
kama mamake hakumfanya ajione yeye ndo kidume atajifunza kutoka kwangu kilazima....
sasa mume akiwa analialia na mimi nifanyaje?

Tujitahidi kwenye malezi ya wavulana wetu wasijesutwa mchana kweupe
 
Ndiyo maana Teja linachanganyikiwa na kutangaza honeymoon 2 kila mwaka sehemu kalikali, na 2013 honeymoon moja imeongezwa hivyo kuanzia mwaka huu zitakuwa 3. Chezeya penzi la FP weye!!!

kubembelezwa tu...... umepata, lol!
ninavyojua sasa kudekeza watu..... (hapa BAK asione)
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, sipati picha mume wangu analialia bila sababu, lol!
kama mamake hakumfanya ajione yeye ndo kidume atajifunza kutoka kwangu kilazima....
sasa mume akiwa analialia na mimi nifanyaje?

Tujitahidi kwenye malezi ya wavulana wetu wasijesutwa mchana kweupe
 
Ndiyo maana Teja linachanganyikiwa na kutangaza honeymoon 2 kila mwaka sehemu kalikali, na 2013 honeymoon moja imeongezwa hivyo kuanzia mwaka huu zitakuwa 3. Chezeya penzi la FP weye!!!
sasa hapo si nilikuambia usisome rafiki?
we acha tu, na wao wanavyopenda kudekezwa wasitoe honeymoon mchezo!
 
Reactions: BAK
BAK kishaacha uchokozi Rafiki lol!


rafiki sitaki uchokozi asubuhi hii.......
mchokozi mwenzio snowhite katimka naomba na wewe utimke......
Asante kwa salamu na good wishes.... hizo nazipokea kwa mikono yooote......
Uwe na siku njema pia
 
Last edited by a moderator:
hii iliandiwka wapi kwani jamani!
af BAK toka lini mimi na wee tunafichana confesheni za dada mkubwa!?[
ngoja nikugwaye!nahisi kwenye hii mission Kaizer atanifaa sana we nahis kama dada mkubwa anakupa hongo hivi yailhai[/QUOTE=FP;5842355]sasa hapo si nilikuambia usisome rafiki?
we acha tu, na wao wanavyopenda kudekezwa wasitoe honeymoon mchezo![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
FP inamaana hapo ukujua analengo gani??alikuwa anakwambia yeye hana gharama wewe nikumpokea tu umpe mgodi basi hana majukumu! Mtambuzi mnamuonea bwana!
 
Last edited by a moderator:
hapa sijui babu Dark City atasemaje, lol!


Haukwepeki mkubwa mwenzangu...

Ndiyo maana wengine meno yalishandondoka tunabaki kusikitika tunapoona minofu mitamu mitamu inatupita pembeni...

The good thing, ni kwamba ni njia ya kila Bin/binti Adam!!


Babu DC!!
 
Mnunooooooo wa century! hahahahah lol! kununa utanuna wewe kulia utalia wewe kisha unaishia kulazwa hospitalini...madaktari wanatafuta ugonjwa hawaoni lakini mgonjwa yuko mahututi!!! Shauri yako Rafiki!!!! Mie simo!!!!!



rafiki ntakununia!
 
Last edited by a moderator:
abeee dada umeniita!
nishaingiza siku ujue!
sasa tusongeshe mpka lukela!
ahahahahhahah wapi Kaizer
hongera kwa kuingiza mlongo wangu.....
mimi naingiza huku nakamua mastori hapa....
ila sasa mmekuja naona speed ya kuingiza itapungua sana, lol!
ulikuwa unaitwa kuleeeeee
 
hongera kwa kuingiza mlongo wangu.....
mimi naingiza huku nakamua mastori hapa....
ila sasa mmekuja naona speed ya kuingiza itapungua sana, lol!
ulikuwa unaitwa kuleeeeee
umeona enh!ngoja niende
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…