Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #441
afadhali wewe rafiki umeshindwa kumwelewa na umeishia hapoNimeshindwa kumuelewa huyo small Boy anamaanisha nini
ha haaaa......upande mwingine nakubaliana nao...darasa nililosoma mimi huku ungwinini wadada tumeolewa na wahandisi.
kisa eti mwl hana urgument zaid ya kutaka kuona familia inastawi tu basi, ukiwaambia kuhusu kuoa wanasheria wanadai hawa wanakuletea vifungu hadi ndani ya nyumba hawakuwataka kabisa. tena waliamini kwamba wadada wa sheria wengi huishia kuwa losers tu basi. ukiwaambia waoe watu wa bcom wanasema hao ni wapenda hela.
sijui waliwezaje kuderive hizi theories kwakweli.
ha haaaa......upande mwingine nakubaliana nao...
mdogo wangu alikuwa mtukutu na mbabe sana enzi tunakua....
nakumbuka alikuwa na bf mpoleeee akasema anamwacha sababu hawezi kuwa na mume mpole vile, maana yeye alikuwa hatari, lol!
sasa si akaenda ualimu! yaani kawa mpole ni balaaa.... yaani yeye anachoangalia ni mume, watoto, ndugu, lol!
nikasema kweli ualimu noma.
nakubaliana kabisa na wewe rafiki....kiukweli ualimua kwa maswala ya maadili usiseme kabisa.
sisi tulikuwa tunaambiwa kabisaaa ualimu ni haiba. hutakiwi kuwa mtu wa makelel, fujo, usojipenda, mlevi, nk
tena unatakiwa uwe mfano kwa wanafunzi si tu uwapo shulen hata uwapo mtaani. ndo mana waalimu walevi huachishwa kazi mapemaa kunusuru watt wa watu.
rafiki sasa wewe unakuja na episode nyingine kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
umeona eeeh!Hata mie nimestuka.....
Kwani ungefanya nini wakati mwenyewe hajitambui??
Babu DC!!
Bora angekuwa emoro ningemwelewa, yaani ni bonge la mtu....
labda ndo maana alikuwa anatuambia tusimwone mwili mkubwa ""he is just a small boy"
ha haaa, huo utata ndo sijuijua labda, lol!mhhhhhhhhh hapo patata aiseeee bora hata angesema he is still young kuliko hiyo small boy!!!!!!!!!!!
ha haaa, huo utata ndo sijuijua labda, lol!
umeona eeeh!Utata ninousemea hapa ni huo usemi wa i am a small boy mtu wa miaka 30!!!!!!!!wapi na wapi????Anway nafikiri huyo mwenzetu anahangaishwa sana na suala la ukubwa,ni kama vile hataki kukubali kuwa ukubwa ukikifika umefika tu hata uukatae.
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
ha haaa, huyu jamaa anajitegemea ujue, na ameoa wala siyo kwamba bado yupo kwa wazazi.Inaweza kuwa imechangiwa na malezi ya huyu kijana.....Kuna wavulana hata 40s bado wanajiona watoto na wanadeka usiombee...Malezi ya mtoto yanamjengea maisha mazuri ya baadaye, hapa tuwalaumu wazazi kwa kutomwambia ni lini anatakiwa kuwa kijana na kujitegemea.
umeona eeeh!
mi naona anajitahidisha kukataa majukumu ya ukubwa, sijui huko kwao labda wakubwa wanatakiwa wawe supernatural, lol!
hapa sijui babu Dark City atasemaje, lol!Haswaaaaaaa hilo ndio tatizo la huyo kijana hataki kuukubali ukweli kuwa sasa amekuwa na ni lazima abebe majukumu kama mtu mzima,aiseee pole yake ila simcheki sana maanake kusema kweli uzee jamani unatisha na sidhani kama kuna mtu anaupenda,ingawa ni lazima tukubali kuwa ukifika umefika.
good ideaHebu ngoja tumsubirie tusikie atasemaje.
ha haaa, huyu jamaa anajitegemea ujue, na ameoa wala siyo kwamba bado yupo kwa wazazi.
Ila kama unavyosema inategemea alilelewaje, inawezekana kabisa malezi yamechangia
Haswaaaaaaa hilo ndio tatizo la huyo kijana hataki kuukubali ukweli kuwa sasa amekuwa na ni lazima abebe majukumu kama mtu mzima,aiseee pole yake ila simcheki sana maanake kusema kweli uzee jamani unatisha na sidhani kama kuna mtu anaupenda,ingawa ni lazima tukubali kuwa ukifika umefika.