Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #241
hapana binamu......binamu naona huu uzi utakuwa umemwanzishia Mtambuzi ila umepinda kidogo kwenye maelezo
ni kweli hayo yametokea leo
hapana binamu......binamu naona huu uzi utakuwa umemwanzishia Mtambuzi ila umepinda kidogo kwenye maelezo
wewe una vituko, lol!
hapa unamaanisha yapi!hapana binamu......
ni kweli hayo yametokea leo
jamana jamani.....dada mkubwa ikiwa unautendea mti mkavu haya mbichi itakuwaje !yani we kweli ni wa kumficha jambo binamu yako Jiwe Linaloishi
SIAMINI! Kaizer we unaaamini!?
siku hizi ni KHABAAAAAAAAAAAAAAAAAANG!Allah Akbar....! khaaaa
umeona eeeh!
nahisi ile mbinu anaweza akajifunza mwenyewe, kaa chonjo mwanafunzi wake
namaanisha hayo ya mtu kujisema he is a small boy.... si mengine mdogo wanguhapa unamaanisha yapi!
yapi dada mkubwa!?
ha ha haaaa, umeona Ummuukubwani ni pa gumu
we tushahama huko siku nyiiiiiingi!
mambo IKO hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
naona sasa anaenda faster sana....hahahahaa....si inapatikana kwa oral tradition tu?
hahahahaa....si inapatikana kwa oral tradition tu?
he heee, siku hizi fasheni ni kuziacha tu, lol!
siku hizi ni KHABAAAAAAAAAAAAAAAAAANG!
hata mimi nahisi hivyo...Ha,ha,ha.... Labda ni ile mtoto kwa mama hakui
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
na foleni inazidi, lol!hahahaha kama EL kichwa kinakuwa kama shamba la pamba lol