"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

af uzur wa oral tradition huwa inahifadhika kichwani ujue,inahamishika kwa mdomo,inakuwa tested kwa mikono,inasikilizika kwa masikio,inaonekana kwa macho ahahahhahhahhaha NEED I SAY MORE?

hahaaaa.....usiseme kitu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ha ha haaa!!! Umenifanya nicheke sana dada yangu @FP...binafsi mimi huwa sipendi kuitwa mtoto hata kama kweli ni mdogo cuz naona kama vile nadharaulika lakini at the same time sipendi kuonekana mkubwa.
 
hv una taarifa za binamu yako au unabaki na Mtambuzi tuu!
ahahhahahahhahahha nahs unapitwaaaa af na binamu yako alivo mbayaaaa anakupa za yule dogo tu wkati mambo yako new edition sa hhz!

Binamu FP kesho naomba majibu hapo nilipopigia mstarihuku niko porini naona mda wa wanga kuanza kazi umefika ngoja nikapumzike
 
Ha ha haaa!!! Umenifanya nicheke sana dada yangu @FP...binafsi mimi huwa sipendi kuitwa mtoto hata kama kweli ni mdogo cuz naona kama vile nadharaulika lakini at the same time sipendi kuonekana mkubwa.
ha haaaaa, kwa ninavyojua mimi watoto wa mwisho ndo huwa wanajiona wadogo always..... sasa sijui wewe utakuwa kundi gani? lol!
 
hahaaaa.....usiseme kitu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
af watu wananiuliza inakuwaje namaliza topics kwenye mfumo huu wa competence based teaching!
kitu prior knowledge ya mwanafunzi baaana nani kasema mwanafuzni wangu Kaizer ni tabura lasa!
ahahahhaha kitu ukitoa maintro tuuuu anajaza ukurasa!
 
Last edited by a moderator:
sasa hv kweeeli kuna mtu alishawahi kufundishwa kuandika kabla ya kupewa rula achore mstari wa pambizo?
naachaaje kuona ugunduzi wa mwanafunzi wangu!
mwalimu na mwanafunzi, mnapeana sumu mjue!
umewahi kulishwa sumu dakika chache kabla ya mtihani? na mbaya zaidi hilo swali ukalikuta?
shauri yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom