Kumbe inaweza kuwa kujichanganya tu sioSio kwa makusudi mkuu, huyu trafic kapata wenge baada ya mwanausalama kumuambia asipite pale amepagawa anapiga hatua kubwa afike anapostahili kumbe ndiyo anazidi kuharibu kwa kumpamia mwanausalama mwingine ambaye alikua hata hajamuona 🤣
Fafanua vizuriKuna jamaa naye kamsukuma apite huko
Haha ni wenge la trafic hilo mkuu.Tazama vyema Mkuu utakubaliana na mimi. Ni kusudi kabisa
Labda alitaka apate cha kumsimulia mke wakeUkiangalia kwa umakini alikaribia mno tena kupita nyuma ya hao Walinzi wenye silaha nje nje
Amekaa kizembe kama mpembaKUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?
Au kalewa? Hata uvaaji wake hauko sawaHaha ni wenge la trafic hilo mkuu.
Ukitazama kwa umakini trafic hakujua kua yupo karibu na gari la rais akawa very comfortable anatembea vizuri ila alivyosemesheshwa na huyo makirikiri ndiyo akagundua yupo in a wrong place akapiga hatua kubwa kutii amri ya kubadili njia ndiyo hatua yake ikamfikia huyo mwanausalama yani amemuona akiwa tayari ameshampamia.
Sisi yetu ni kusema tutamkumbuka.....Hata shati hajafunga vifungo vizuri,kifua wazi vest mpaka inaonekana
Hata sare hajafunga vifungoKUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?