Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
4,565
2,000
Kwanza tuelewe mizunguko (guarding circles) inayomlinda Mh Rais. Tukiachana na mzunguko huo ambao umo ndani ambao hatuuoni, kuna mizunguko mitatu iliyo dhahiri katika video.

Mzunguko wa tatu upo huo wa polisi pamoja na wanausalama waliovalia kaunda suti. Unaona kabisa Trafki anaupita na kujitokeza kuukabili mzunguko unaofuata. Hao walijisahau kabisa.

Mzunguko wa pili ni huo wa Wanajeshi walioshikilia mitutu mikubwa mikubwa.
Ukiangalia kwa umakini, kuna mwanajeshi mmoja anamnong'oneza afisa (katika mzunguko wa tatu) kitu. Kumnong'oneza huko kukamfanya kupoteza focus ya kuangalia kwa umakini

Isingelikuwa huyo mwenzake kumuwahi huyo Trafiki na kumuamuru asipite huko bila shaka angelipita karibu kabisa na circle ya kwanza.

Mzunguko wa tatu, unahusisha wanausalama wengine pamoja na huyo mnayemwita Mpambe. Baada ya kuamuriwa kwa kusukumwa trafiki analazimika kupita katikati ya mzunguko wa pili na wa tatu.

Trafiki alifikaje?
Kwanza ametumia advantage ya yeye kuwa sehemu ya usalama. Amevalia kitrafiki.
Akapata upenyo kusogea ndani zaidi.

Lakini tukubali kuwa kuna uzembe ulifanyika wa kumpuuzia.

Hata baada ya kusukumwa anaondoka kwenda kumuagamia mwanausalama kiunoni. Sijui ni makusidi ama kukosa balance.

Huenda ni makusudi kwa kuwa hakusukumwa kwa nguvu sana. Ni kidogo tu. Lakini pia, askari anatakiwa awe mkakamavu, force kidogo kama ile si ya kukuyumbisha kutaka kuanguka.

Huenda si makusidi kwa sababu:
Uoga ulichangia kukosa balance. Nafasi baina ya aliyesukuma na aliyetaka kumuangukia haikuwa ya kutosha.

Je, ni threat?
Hapana, kwa sababu hakusababisha usumbufu wa aina yeyote. Alishindwa kuelewa mipaka yake, mahali anapotakiwa kuishia.

Ila uzembe umefanyika kwa kikosi kushindwa kumzuia kutofika huko
Ahsante kwa elimu Mkuu
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Kuuliza si ujinga, wengine utaalamu wetu ni kwenye kuhesabu pesa counter,
Umejitambulisha wewe ni "mhesabu pesa counter"?

Nami nina swali la kukuliza wewe, swali ambalo limenitatiza miaka mingi.

Hivi nyinyi, "wahesabu pesa counter" huwa hizo pesa ni zenu?

Maana yangu ya kuuliza swali hilo ni ile 'attitude' ambayo wengi wenu huwa mnayo wakati mnahudumu.

Ni kama huwa mnagawa pesa ambazo ni zenu kwa hao mnaowahudumia, hii inatokana na nini hasa?
 
Prisonerx

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
692
1,000
Mpembe anakuwa yupo na raisi kila anakoenda,akikaa naye anakaa,akisimama naye anasimama.

Mlinzi yeye mwanzo mwisho yuko standby kasimama akitazama huku na kule hata kama mama amekaa.

Haya ni maoni yangu japokuwa naamini hata huyu niliyemuita mpambe naye anamlinda raisi kwa namna fulani.

Hivyo usitake mambo siriaz sana mkuu
Nimekuuliza swali walinzi wanaomlinda mama wapo wangapi? Na huyo mama niliemzungumzia ni mlinzi ama sio mlinzi?
 
mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
4,565
2,000
Umejitambulisha wewe ni "mhesabu pesa counter"?

Nami nina swali la kukuliza wewe, swali ambalo limenitatiza miaka mingi.

Hivi nyinyi, "wahesabu pesa counter" huwa hizo pesa ni zenu?

Maana yangu ya kuuliza swali hilo ni ile 'attitude' ambayo wengi wenu huwa mnayo wakati mnahudumu.

Ni kama huwa mnagawa pesa ambazo ni zenu kwa hao mnaowahudumia, hii inatokana na nini hasa?
Tukikosea hesabu sisi ndio tunawajibika, tunaingia sisi gharama na hata kutia nyasi kibarua ndio maana tunakuwa hivyo lakini wala hatuna roho mbaya
 
Sisyphus

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
2,583
2,000
Mhmhmhmh!

Tuanze mdogo mdogo kwanza!

Kwanza tuelewe mizunguko (guarding circles) inayomlinda Mh Rais. Tukiachana na mzunguko huo ambao umo ndani ambao hatuuoni, kuna mizunguko mitatu iliyo dhahiri katika video.

Mzunguko wa tatu upo huo wa polisi pamoja na wanausalama waliovalia kaunda suti. Unaona kabisa Trafki anaupita na kujitokeza kuukabili mzunguko unaofuata. Hao walijisahau kabisa.

Mzunguko wa pili ni huo wa Wanajeshi walioshikilia mitutu mikubwa mikubwa.
Ukiangalia kwa umakini, kuna mwanajeshi mmoja anamnong'oneza afisa (katika mzunguko wa tatu) kitu. Kumnong'oneza huko kukamfanya kupoteza focus ya kuangalia kwa umakini

Isingelikuwa huyo mwenzake kumuwahi huyo Trafiki na kumuamuru asipite huko bila shaka angelipita karibu kabisa na circle ya kwanza.

Mzunguko wa tatu, unahusisha wanausalama wengine pamoja na huyo mnayemwita Mpambe. Baada ya kuamuriwa kwa kusukumwa trafiki analazimika kupita katikati ya mzunguko wa pili na wa tatu.

Trafiki alifikaje?
Kwanza ametumia advantage ya yeye kuwa sehemu ya usalama. Amevalia kitrafiki.
Akapata upenyo kusogea ndani zaidi.

Lakini tukubali kuwa kuna uzembe ulifanyika wa kumpuuzia.

Hata baada ya kusukumwa anaondoka kwenda kumuagamia mwanausalama kiunoni. Sijui ni makusidi ama kukosa balance.

Huenda ni makusudi kwa kuwa hakusukumwa kwa nguvu sana. Ni kidogo tu. Lakini pia, askari anatakiwa awe mkakamavu, force kidogo kama ile si ya kukuyumbisha kutaka kuanguka.

Huenda si makusidi kwa sababu:
Uoga ulichangia kukosa balance. Nafasi baina ya aliyesukuma na aliyetaka kumuangukia haikuwa ya kutosha.

Je, ni threat?
Hapana, kwa sababu hakusababisha usumbufu wa aina yeyote. Alishindwa kuelewa mipaka yake, mahali anapotakiwa kuishia.

Ila uzembe umefanyika kwa kikosi kushindwa kumzuia kutofika huko.
Inaonekana alilewa kumgusa huyu mwana usalama ni kwa sababu amesukumwa na ofisa wa kwanza
 
Prisonerx

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
692
1,000
Huo ulinzi pia una mashaka sana.

Ule upande ungine wa gari sijaona kabisa kama kuna mlinzi naona wamejazana upande huu tuu ambao mama kasimama.

Awe makini mama yetu,walinzi wawe makini bado tunamhitaji mama yetu msikivu atatufikisha tunakotaka....
Formation waliyokaa inatia shaka, wakati mwingine wawe makini katika kujipanga bado natafakari imekuaje kwa askari trafiki kupenya na kuingia katika layer ya pili ya ulinzi pasipo kuzuiliwa.!?

Bado napata wasiwasi na hawa waliopewa dhamana ya ulinzi wa mama, either ni kwamba hawajaiva vizuri katika mafunzo ya ulinzi ama kuna ka uzembe fulani kwa kundi hili la ulinzi.

Kwa kawaida si rahisi kwa askari asiye husika (mfano huyu trafiki) kufika eneo hili ambalo ni maalamu kwa escort teams ya kiongozi mkuu ambaye ni mama pasipo kuzuiliwa.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
9,116
2,000
Nimekuuliza swali walinzi wanaomlinda mama wapo wangapi? Na huyo mama niliemzungumzia ni mlinzi ama sio mlinzi?
Haya ni maswali mapya kuhsu wako wangapi hukuuliza mwanzo ni swali jipya hivyo unazingua.

Kuhusu huyo mama nasema ni mlinzi na ni mpambe pia wa raisi.

Mpambe ni mtu ambaye yupo na mtu mwingine kila sehemu.

Lakini mlinzi ni mtu ambaye yuko na wewe kuhakikisha usalama wako na huyo mama haya yote mawili anakidhi.
 
Prisonerx

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
692
1,000
Haya ni maswali mapya kuhsu wako wangapi hukuuliza mwanzo ni swali jipya hivyo unazingua.

Kuhusu huyo mama nasema ni mlinzi na ni mpambe pia wa raisi.

Mpambe ni mtu ambaye yupo na mtu mwingine kila sehemu.

Lakini mlinzi ni mtu ambaye yuko na wewe kuhakikisha usalama wako na huyo mama haya yote mawili anakidhi.

Mdada aliyevaa viatu vya kiofisi kwenye shughuli za ulinzi umemuona yupo wapi?
 
Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,711
2,000
inashangaza walinzi wamejikusanya sehemu moja hawana concentration kabisa hata kwenye mpira mabeki huwa wanajipanga kwa mpangilio sijui alipenyaje ,duh?kumbe angekuwa suicide bomber saa hii tunaongea mengine
Pole!wamejikusanya?kama hujui mfumo wa ulinzi wa Rais bora unyamaze,kujikusanya kwao siyo hoja kwako.Siku hizi niteknolojia tu
 
Prisonerx

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
692
1,000
Kwanza tuelewe mizunguko (guarding circles) inayomlinda Mh Rais. Tukiachana na mzunguko huo ambao umo ndani ambao hatuuoni, kuna mizunguko mitatu iliyo dhahiri katika video.

Mzunguko wa tatu upo huo wa polisi pamoja na wanausalama waliovalia kaunda suti. Unaona kabisa Trafki anaupita na kujitokeza kuukabili mzunguko unaofuata. Hao walijisahau kabisa.

Mzunguko wa pili ni huo wa Wanajeshi walioshikilia mitutu mikubwa mikubwa.
Ukiangalia kwa umakini, kuna mwanajeshi mmoja anamnong'oneza afisa (katika mzunguko wa tatu) kitu. Kumnong'oneza huko kukamfanya kupoteza focus ya kuangalia kwa umakini

Isingelikuwa huyo mwenzake kumuwahi huyo Trafiki na kumuamuru asipite huko bila shaka angelipita karibu kabisa na circle ya kwanza.

Mzunguko wa tatu, unahusisha wanausalama wengine pamoja na huyo mnayemwita Mpambe. Baada ya kuamuriwa kwa kusukumwa trafiki analazimika kupita katikati ya mzunguko wa pili na wa tatu.

Trafiki alifikaje?
Kwanza ametumia advantage ya yeye kuwa sehemu ya usalama. Amevalia kitrafiki.
Akapata upenyo kusogea ndani zaidi.

Lakini tukubali kuwa kuna uzembe ulifanyika wa kumpuuzia.

Hata baada ya kusukumwa anaondoka kwenda kumuagamia mwanausalama kiunoni. Sijui ni makusidi ama kukosa balance.

Huenda ni makusudi kwa kuwa hakusukumwa kwa nguvu sana. Ni kidogo tu. Lakini pia, askari anatakiwa awe mkakamavu, force kidogo kama ile si ya kukuyumbisha kutaka kuanguka.

Huenda si makusidi kwa sababu:
Uoga ulichangia kukosa balance. Nafasi baina ya aliyesukuma na aliyetaka kumuangukia haikuwa ya kutosha.

Je, ni threat?
Hapana, kwa sababu hakusababisha usumbufu wa aina yeyote. Alishindwa kuelewa mipaka yake, mahali anapotakiwa kuishia.

Ila uzembe umefanyika kwa kikosi kushindwa kumzuia kutofika huko
Umeeleza kimedani fungua balimi nakuja kuilipia hapo? Makosa yapo hass kwa kumruhusu kufikia eneo ambalo hakutakiwa kulifikia, what if angekuwa katumwa na wabaya wa mama? Nini kingetokea?
 
Mwakakima

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
2,655
2,000
Hilo lisoja lililomuelekeza apite kwingine lilipwe posho mara mbili. Limenikosha kwa maamuzi ya haraka na sahihi. Wengine walikuwa wamevaa barakoa wanaangaliana tu huku mtu anapenya
Jamaa linajua kazi yake, movement yake tu inaonesha yuko makini.
 
Athlete

JF-Expert Member
Jan 1, 2015
1,026
2,000
Walinzi wa line ya pili na kwanza wamefanya kazi yao sahihi.Walikuwa na tahadhari tangu akiwa anatokea kule kuna paka wawili watatu hapo walishanusa harufu yake.
Plus msisahau wale wasiojulikana ambao wanasubiri threat ifikie secondary stage wajitokeze.they observe everything.
Na inaonekana kulikuwa na call mbele maana kuna trafiki mwingine alikuwa anakimbia nyuma ya gari ya Rais.So wanafahamika tayari ingawa alikumbushwa kufuata taratibu😊
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom