Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

KUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?
 
Tazama vyema Mkuu utakubaliana na mimi. Ni kusudi kabisa
Haha ni wenge la trafic hilo mkuu.
Ukitazama kwa umakini trafic hakujua kua yupo karibu na gari la rais akawa very comfortable anatembea vizuri ila alivyosemesheshwa na huyo makirikiri ndiyo akagundua yupo in a wrong place akapiga hatua kubwa kutii amri ya kubadili njia ndiyo hatua yake ikamfikia huyo mwanausalama yani amemuona akiwa tayari ameshampamia.
 
KUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?
Amekaa kizembe kama mpemba
 
Au kalewa? Hata uvaaji wake hauko sawa
 
KUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?
Hata sare hajafunga vifungo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom