Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Kwanini msifungue makanisa na ninyi mtapeli. Ndugu zangu wana jamii forum kuanzisha kanisa sio kazi ya kitoto ni kazi ngumu sana. Unaanzia chini mnoo unaanzia kushuhudia watu mmoja mmoja baada ya hapo ndio unaanza kuhubiri stendi bararabani. Baada ya hapo unatafuta mabanzi unatengeneza viti vya waumini watatu wawili watano wewe ukiwa mchungaji na mkeo akiwa praise and warship. Sio kazi nyepesi.
 
Atakua anawapulizia hewa ya mizimu waumini wanajikuta hawajielewi...
Ukitaka kujua kuwa hawa manabii yale mafuta ni ya nguvu za giza, na yana uwezo wa kumfanya mtu yoyote kugeuka zuzu, itafute movie inayoitwa "The perfume" utajua nguvu ya giza iliyopo nyuma ya mafuta ya upako. Kifupi ni uchawi mtupu!! We itafute hiyo movie, utakuja kusema kweli.
 
Wewe umechoka kula ugali,imeandikwa msiwaguse masiha wa Bwana,ukiambiwa useme utapeli wa Mwakasege utasema ulitapeliwa nini?gusa pengine usiguse watumishi wa Mungu wa kweli.
Si Ndio nashangaa. Watu wanapenda kuropoka tu
 
Yaani wafuasi wa makanisa uchwara type ya mwamposa, Tony, mwakasege, suguye, zumaridi, nick shaboka,
Sijui nawaonajee vilee, km wendawazimu.
Watanisamehe kwa kweli, 😂😂😂😂😂😂
Aliekwambia Mwakasege ana kanisa nani? Hebu nioneshe hilo kanisa lilipo😂😂😂
 
Mtaji wake ni wpmbv na wajinga
Na siku zote hao hawaishigi

Ova
 
Kaishawabonda na sasa anawadhihaki kwamba nyie mnaishi nyumba za kupanga na kupanda bolt na uber yeye anaishi kwenye nyumba kali na anaendesha mashine.

Nadhani watanzania ni wepesi sana kuibiwa. Wanaibiwa na wanasiasa, wanaibiwa na watu wa dini yani kumuibia mtanzania ni kitu rahisi sana ukiwa audacious kidogo tu unatajirika kupitia hela za watu wajinga wajinga wanaohisi ili umpate Mungu lazima ukalipie hela kwenye madhabahu ya mchongo ya wachungaji feki.​
 
Kweli kuna giza zito huko...
Ile reaction Ya Kapola sio ya mtu mcha Mungu wa ukweli
 
Wakristo mna tabu xnaa ila kutwa huku jukwaani kutukna waislam kwa propaganda za kijinga
Hali ya kua vituko mnavo nyie na manabii wenu wa uongo
Hakuna kobaz anayeoteshwa kua ustaz ila wanasomea
Lakin nyie mtu anafungua kanisa la mabati na kusema kaoteshwa kua nabii
Wito wangu kwa wana jf hasa nyie wakristo lia lia tulieni na dini yenu na muache kushambulia dini zingine
 
 
Kobazi mkiruhusu kula Mbuzi wa Vatican hata leo hii mimi nasilimu wallahi. Takbirrrr! 😂😂😂

 
Wenye matatizo ni wanaoenda kuabudu kwenye makanisa ya aina hii.
 
Huyu nimemjua juzi baada ya kumsikia mke wake akiongelea mume kujaza mtungi wa gas kwa kuupuliza
Kimsingi dini imejaa drama, majigambo,siasa na sifa za kijinga kama hizo za kumiliki magari

Yapo ya kujifunza kwa waislamu
Njoo bar huku tuna kanisa la kweli. Tukilewa huwa tunaongea ukweli tupu
 
Pamoja na kwamba hizi dini zilianzishwa na binadamu wenzetu wajanja hawa manabii na mitume wa haya makanisa ya mfukoni ya sasa pamoja na waumini wao wamejaa ujinga mwingi sana.Wamefanya dini kua kituko badala ya farijiko lakiroho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…